Dr Magufuli, mteue W.Malecela DC Kinondoni

Haswaaa ebu fikiria kuelekea sikukuu ya Xmas na Mwaka mpya familia ikikutana Dodoma Mama analia Mtoto analia unafikiri machozi yao yataenda bure.Lakini Le Mutuz akitinga na Kilimo kwanza la Mkuu wa Wilaya walau machungu yatapungua kiduchu.
Haitakuja kutokea!
jamaa uwezo wake wa kufikiri mdogo sana

Ata ivo muda wake ushaisha amezeeka lakin hajitambui
 
Ukifanya ovyo unatumbuliwa bila kujari udungu, ufamilia wala ukoo ufanisi wako ndio utakao kufanya udumu katika nafasi yako.

Mbona Gavana na Mkuu wa TRA walikiuka maagizo ya kutofungua Fixed Account Bank za biashara bado wanadunda ???????.Badala yake wamekula kichwa na Mafuru pekee yake kama si uonevu ni nini !!!.
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Mheshimiwa,Mtukufu Dr John Pombe Magufuli kwa heshima na tahadhima nakusihi na kukuangua chini ya Miguu yako mpatie nafasi kijana wa zamani Willy Malecela ukuu wa Wilaya ya Kinondoni.

Kwanza nikupongeze na kukutakia afya njema katika kutekeleza majukumu yako mazito kwa taifa letu changa.Nikupongeze pia kwa kuanza vyema katika nafasi yako nyingine ya ukigoda wa chama chetu pendwa.Umejitahidi kuondoa masalia ya yule rafiki yetu wa Msoga lakini safari hii haujawatupa wengine wamekuwa wakuu wa Mikoa,wengine Mabalozi na wengine wanasubiria nafasi kedekede ulizopewa na katiba yetu inayohitaji mabadiliko makubwa.

Ngoja nirejee kusudio la kuandia waraka huu kwakuwa najua utakufikia basi natarajia utafanyia kazi mawazo yangu.Kwakuwa yule Mheshimiwa aliyekuwa anapambana na chama chetu umemwondoa Wilaya ya Ubongo na sasa umempatia kile cheo cha kubwabwaja pasipo kutumia akili nakuomba umkumbuke Bwana Willy Malecela katika nafasi hiyo hasa ukizingatia heshima ya familia ya Malecela jinsi ilivyokumbwa na misukosuko tangu utawala wa awamu ya tano uingie madarakani.Mama Anna Kilango ulimtimua katika nafasi ya ukuu wa Mkoa kabla mambo hayajatulia jana umemtumbua Mtoto wa Mzee Malecela Dr Mwela Malecela katika nafasi ya Mkurugenzi NIMR.

Kwakuwa wewe ni Mtukufu teuzi zako hazihojiwi wala hazipigiwi kura kama kuleee kwa Mzee Trump basi ipooze familia ya Mzee Malecela kwa kumteua Kijana wake Willy ukuu wa Wilaya ya Ubungu unamtosha sana familia itafarijika na kupunguza machungu na kinyongo

Ni hayo tu Mtukufu Dr Magufuli nafasi nyingine zikitokezea hasa tukizingatia tumbua tumbua haijakoma unikumbuke na mimi katika utukufu wako niko tayari kulitumikia taifa letu katika nafasi za Ukuu wa Wilaya,Ukuu wa Mkoa,Ubalozi,Ukurugenzi,katibu mkuu wizara,katibu tawala mkoa na wilaya zote hizo ziko chini ya mamlaka yako ya uteuzi na utumbuaji.

Nawasilisha kwa unyenyekevu wa hali ya juu.
unamaanisha amteue lemutuz mzee wa mabebez_u know
 
Hii familia itamkumbuka sana Mkwere aliibebe sana, William mwenyewe asingeboil kwenye kujieleza angekua mbunge wa East Afrika, Mwele watu wa NIMR wengi waliona kuteuliwa kwake ni upendeleo, kuna wakina Ngosha pale watoto wa masikini walipata PhD zao Enzi, lakini nani atawafahamu?
 
ni heri husingesema haya..kwa ninavyojua ndio umemuaribia hata kama jina lake lilikowepo kwenye orodha..
 
Hii familia itamkumbuka sana Mkwere aliibebe sana, William mwenyewe asingeboil kwenye kujieleza angekua mbunge wa East Afrika, Mwele watu wa NIMR wengi waliona kuteuliwa kwake ni upendeleo, kuna wakina Ngosha pale watoto wa masikini walipata PhD zao Enzi, lakini nani atawafahamu?

Le Mutuz kajaribu kugombea ubunge mara mbili kashindwa na jamaa yuleee aliyekataa kukanyaka madarasa ya sekondari lakini ni mtunga sheria.Utashangaa sana ukiomba hata kazi ya pump attendant unaulizwa vyeti vya form 4 ubunge ujue kusoma na kuandika.
 
Hii familia itamkumbuka sana Mkwere aliibebe sana, William mwenyewe asingeboil kwenye kujieleza angekua mbunge wa East Afrika, Mwele watu wa NIMR wengi waliona kuteuliwa kwake ni upendeleo, kuna wakina Ngosha pale watoto wa masikini walipata PhD zao Enzi, lakini nani atawafahamu?
Sky Ngosha wepi NIMR wa zamani? Niambie PM please. PhD za enzi ni zipi?
 
Mheshimiwa,Mtukufu Dr John Pombe Magufuli kwa heshima na tahadhima nakusihi na kukuangua chini ya Miguu yako mpatie nafasi kijana wa zamani Willy Malecela ukuu wa Wilaya ya Kinondoni.

Kwanza nikupongeze na kukutakia afya njema katika kutekeleza majukumu yako mazito kwa taifa letu changa.Nikupongeze pia kwa kuanza vyema katika nafasi yako nyingine ya ukigoda wa chama chetu pendwa.Umejitahidi kuondoa masalia ya yule rafiki yetu wa Msoga lakini safari hii haujawatupa wengine wamekuwa wakuu wa Mikoa,wengine Mabalozi na wengine wanasubiria nafasi kedekede ulizopewa na katiba yetu inayohitaji mabadiliko makubwa.

Ngoja nirejee kusudio la kuandia waraka huu kwakuwa najua utakufikia basi natarajia utafanyia kazi mawazo yangu.Kwakuwa yule Mheshimiwa aliyekuwa anapambana na chama chetu umemwondoa Wilaya ya Ubongo na sasa umempatia kile cheo cha kubwabwaja pasipo kutumia akili nakuomba umkumbuke Bwana Willy Malecela katika nafasi hiyo hasa ukizingatia heshima ya familia ya Malecela jinsi ilivyokumbwa na misukosuko tangu utawala wa awamu ya tano uingie madarakani.Mama Anna Kilango ulimtimua katika nafasi ya ukuu wa Mkoa kabla mambo hayajatulia jana umemtumbua Mtoto wa Mzee Malecela Dr Mwela Malecela katika nafasi ya Mkurugenzi NIMR.

Kwakuwa wewe ni Mtukufu teuzi zako hazihojiwi wala hazipigiwi kura kama kuleee kwa Mzee Trump basi ipooze familia ya Mzee Malecela kwa kumteua Kijana wake Willy ukuu wa Wilaya ya Ubungu unamtosha sana familia itafarijika na kupunguza machungu na kinyongo

Ni hayo tu Mtukufu Dr Magufuli nafasi nyingine zikitokezea hasa tukizingatia tumbua tumbua haijakoma unikumbuke na mimi katika utukufu wako niko tayari kulitumikia taifa letu katika nafasi za Ukuu wa Wilaya,Ukuu wa Mkoa,Ubalozi,Ukurugenzi,katibu mkuu wizara,katibu tawala mkoa na wilaya zote hizo ziko chini ya mamlaka yako ya uteuzi na utumbuaji.

Nawasilisha kwa unyenyekevu wa hali ya juu.
sijapenda neno mtukufu
 
sijapenda neno mtukufu

Unajua maana yake,ubu tudadavulie usikute umekariri.

1 the glorious;
2 exalted person, highness, majesty, excellency: Rais His Excellency the President;
 
-Ha ha ha ha ha ha ha ha! You know , I love it. Super sana. Wanapokusema sana Ina maana wanakukubali.

- I am humbled Kwa Lemutuz kuwa kwenye midomo ya fans wake. You know, kama vipi hii inahitajika Kwa ajili ya maendeleo ya taifa. The king of all social media Hana makuu you know. Na kama uteuzi utakuwepo, basi utakuwepo tu.

- I am humbled sana you know.
Sauti ya umeme@ NY
 
W. Malecela = Le akili kubwaz a.k.a Le nyambilisi, Le totoz, le diaspora?
 
Ivii hii nchi inamapimbi wengi sana..inamaana huo ukooo wa malesela ndo unajua kuongoza sana na ndo waliosoma sana kupita wengine au vip...toka nizaliwe nasikia tuu malesela viongozi inamaan wengine hawawezi hadi tuu huo ukoo..acheni ukillaza
 
Taratibu acha hasira lazima ufahamu kuna koo za kutawala na koo za kutawaliwa.Ukoo wa kutawaliwa ukipewa madaraka kila kitu kinakwenda ndivyo sivyo au kwa lugha nyingine shabala baghala.Kama wewe ni msomaji wa historia ya wayahudi zipo koo kumi na mbili katika koo hizo wapo watawala,wapo wanajeshi,wapo makuhani........Kama ni upimbi basi sifa hizo wajua unastahili kumpatia nani ?.
 
Back
Top Bottom