Yamenikuta; Sijui nifanye nini?

Yamenikuta; Sijui nifanye nini?

"Ndani ya lisaa limoja"

Amerudi nyang'anyang'a...

Asante kwa story...

Mungu akuzidishie ubunifu.
kuwa nyang'anyang'a ni kitendo cha sekunde 120, kwenda gest au eneo la tukio ni sekunde 600, zengwe la fumanizi ni sekunde 1200, sekunde nyingne ni kurudishwa hoi na show kama ilifanyka!
 
pole sana bro, ikiwa wewe hujawahi na hauchepuki basi mrudishe kwao, ikiwa unampenda na kuthamini watoto wako na kama anakuheshimu na kukujali nakusiii msamehe màana huyo hatachepuka tena..kumbuka hautapata perfect ktk ulimwengu huu sisi wote ni wakosaji
 
Kosa moja haliachi mke wewe acha ujinga, wala hakuna mkamilifu inawezekana wewe mwenyewe una michepuko kibao ila hujakamatwa tu, we msamehe mwendelee na maisha
mkuu umewahi kujiuliza kwann mwanaume akifumaniwa itc not a big deal sana tofauti na mwanamke??? think big aiseee hapo hakunaga usawa. yaan mwanamke akifumaniwa tu ujue hyo ni malaya life lake lote ila mwanaume after somedayz kitu kinakua shwareeeee
 
hamna
Je ulimpatia mapenz yakutosha au ulimpotezea ??? Jichunguze kwanza ww coz mwanamke mpaka achepuke lazma mume anazingua....
mh!???..... hmna 7b ya kumfanya mwanamke achepuke whatever the case anatakiwa aridhike na akaushe tu.
 
pole sana bro, ikiwa wewe hujawahi na hauchepuki basi mrudishe kwao, ikiwa unampenda na kuthamini watoto wako na kama anakuheshimu na kukujali nakusiii msamehe màana huyo hatachepuka tena..kumbuka hautapata perfect ktk ulimwengu huu sisi wote ni wakosaji
Hakuna upendo tena hapo. Acha kumpoteza mwenzio. Huyo mwanamke ni wa kufukuza haina mjadala hiyo.
 
Mh! Inahitaji moyo sana BT wanaume wachache sana wanaweza kusamehe hali kama hii sidhani kama wanafika hata 5% ya wanaume wote nchini. Siku ya sikukuu unamdanganya mumeo kwamba unaenda kumuona rafiki kalazwa kumbe unaenda kugegedwa! Nashangaa jamaa kaja hapa kuomba msaada, labda anampenda sana mke wake na kwa jinsi alivyomuamini hakutegemea kabisa kwamba anachepuka.
Mke alitaka kushtua cha sikukuu....

Mumewe amsamehe tu...itakuwa shetani alimpitia mkewe
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haya majina ya akina John ishakua tabu sasa
1. Faru john
2. Alcohol ........
3.
 
Mimi kwa jina naitwa John ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35. Ninaishi na mke wangu wa ndoa ,na tumejaliwa tumepata watoto wawili,

Siku ya Christmas baada ya chakula cha mchana aliniaga akaniambia anaenda hospital kumuona rafiki yake amelazwa nikamruhusu nikamwambia aende lakini awahi kurudi.

baada ya kupita lisaa moja alirudishwa akiwa hoi na watu wakimzomea nilipotaka kujua amepatwa na nini.!!!nikaambiwa kafumaniwa na mume wa mtu !!!na waliomchakaza hivyo ni wanawake wenzake.

niliishiwa nguvu nikaamua nimpeleke hospital kusema ukweli nimekaa nimeshindwa kupata ufumbuzi naombeni ushauli wenu huyu mwanamke niendelee kuishi nae au nimpe talaka?
Hakufai
 
Mpaka amechepuka ujue kuna shida kwa hiyo ukimsamehe jiandae kwa kisanga kingime kama hiki.
Daah lakini pole sana mkuu.
 
Mimi kwa jina naitwa John ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35. Ninaishi na mke wangu wa ndoa ,na tumejaliwa tumepata watoto wawili,

Siku ya Christmas baada ya chakula cha mchana aliniaga akaniambia anaenda hospital kumuona rafiki yake amelazwa nikamruhusu nikamwambia aende lakini awahi kurudi.

baada ya kupita lisaa moja alirudishwa akiwa hoi na watu wakimzomea nilipotaka kujua amepatwa na nini.!!!nikaambiwa kafumaniwa na mume wa mtu !!!na waliomchakaza hivyo ni wanawake wenzake.

niliishiwa nguvu nikaamua nimpeleke hospital kusema ukweli nimekaa nimeshindwa kupata ufumbuzi naombeni ushauli wenu huyu mwanamke niendelee kuishi nae au nimpe talaka?
MUNGU akuzidishie subira, usiulize humu watu watakuchanganya. ulipochukua jukumu la kumpeleka hospitali hukuuliza humu. kaza moyo huyo tayari AMESOMA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom