Nafikiria kutembea na house girl

dompazuri

Member
Aug 14, 2016
30
60
Salaam wakuu,
Imetokea tuu from no where siku za hivi karibuni nimekuwa na mawazo na hisia za kufanya mapenzi na moja ya msichana wa kazi nyumbani kwangu.
Sijui nifanye nini kuyaepuka haya mawazo?. Huyu binti alikuja wa kawaida sana, lakini hivi sasa amenawiri kila kona ya mwili wake inashawishi. Mke wangu yupo, ila kwakweli yupo busy saana kiasi cha kwamba hata nikianza haka ka mchezo haitokuwa rahisi yeye kugundua.
 
mdogo wangu nakushauri uachane na hayo mawazo..sio wewe unayewaza ila ni ibilisi anayaleta ili kuaribu ndoa yako na kuondoa amani hapo home kwako...ipo siku kila kitu kitakuwa wazi ukifanya huo mchezo na kama hujui hao wasichana wanashika mimba haraka kuliko mwanadamu yeyote chini ya mbingu.
 
Huyu nakushauri umrudishe kwao +(uctshe mkataba)
[HASHTAG]#Itajulikan[/HASHTAG] tuu ukianz mla maan hutomla mara moja .
 
Tatizo la house girl akija hata kama kafanana na baba yake akikaa utamzoea na utamuona mzuri
achana kabisa na kichwa cha chini kutambua uzuri
Mkuu kwa huyu binti, hata ungekuwa wewe hakika usingehimili. Si unajua mabinti wa kirangi?. Hakika huu ni mtihani mgumu sana kupitishwa mbele yangu na maulana.
 
mdogo wangu nakushauri uachane na hayo mawazo..sio wewe unayewaza ila ni ibilisi anayaleta ili kuaribu ndoa yako na kuondoa amani hapo home kwako...ipo siku kila kitu kitakuwa wazi ukifanya huo mchezo na kama hujui hao wasichana wanashika mimba haraka kuliko mwanadamu yeyote chini ya mbingu.
Nimejaribu kuyapotezea haya mawazo, nashindwa kaka. Yaani kila nikimuona moyo unaenda mbio, hata yeye naona ameanza kuhisi kitu maana huwa hawezi kugonganisha macho na mimi.
 
Kak mrudshe kwao

Alafu uwe unamlie huko huko

Unampa na mtaji wa biashara ila ukipga ndan ya bokx utajulikana

Nakukumbusha 40% kat ya mmoja wao kwenye ndoa ni HIV+
 
Anaomba RUKHSA kutoka bodi ya JF ya kutoa RUKHSA kugegeda msaidizi wa nyumbani AKA HG kisa kazidi kupendeza ukilinganisha alivyokuja alikuwa mchafu mchafu sasa kapiga soap soap na msosi wa uhakika binti kanawiri hivyo anaomba RUKHSA ili amvue picchu.

Hata sijaelewa umekuja kuomba ushauri?

Au kutuambia unataka kutembea na house girl wako?
 
Mkuu naona sasa u ataka na wake wawili uto house girl mda sio mrefu utampa mimba ndo utajua sasa mtiti wa mkeo...
 
Back
Top Bottom