We achana na walimwengu, hata kama wangeambiwa wavue nguo bado wangefanya vivyo hivyo!!
Nakwambia wapo wengi tu watakaosilimu, ILA wenye upungufu wa akili, busara na utashi!!! Hainiingii akilini, ni Mola yupi huyu anayekubaliana na maovu kama hayo?? labda mola wa kujiundia hapa hapa duniani!!