Siamini...wanyama ndio wanaweza kufanya hivi..
Na huyu baba juzi kafikishwa kituo cha msaada wa sheria hapo kinondoni,ndugu wa bwana wakaja wakimsema mama wa jirani kwamba hakitakiwa kufika kwenye sheria ni swala lingeisha kifamilia!!! Nauliza huyu mama wa jirani akinadili msimamo watakuwa wametenda haki😕