OLASITI and SOWETO bomb blasts

OLASITI and SOWETO bomb blasts

it will be better if we ask the Arusha police about this, why did they shoot the woman who did identify the one who throw the bomb? and why did they take him with them if they know nothing about what going on.

Ndg yangu Freewild, hakika umenena, sikuwepo lakini nahisi unasema ukweli wa ndani. Tena hata wewe ungewauliza muda huo wangeku-shoot pia. Secret killers wameamua kuua wazi wazi sasa!
Jukumu letu ni nini kuhusiana na hilo? Na hakika kama kila mwana jf atawaelimisha marafiki zake, ccm itakufa kifo cha aibu sana.
Najiuliza kila kukicha, hivi hawa police ni akili kidogo ama ni njaa ya kufa mtu? kwanini wanatii tu hata kama anajua si sahihi kabisa? laana itawapata wote hapa hapa!
 
Back
Top Bottom