Maandamani a Waislamu

Maandamani a Waislamu

>>>>TAFADHALI MSIFUTE UZI HUU, LENGO NI KUELEIMISHANA HAPA.

Ndugu zetu Waislamu wamekuwa wakiandamana na kulalamika kwa kila kitu hapa nchini kuwa "wanaonewa"(sina uhakika na hilo manake mie siyo Muislamu wala Mkiristu).

Suali langu kwa ndugu zangu Waislamu ni kuwa je, mwaka huu watoto wao wakifeli na mwakani na miaka ijayo bado wataandamana? Nauliza hivyo kwa sababu wao kila siku ni kuandamana na kukusanyana mitaani kulalamikia serikali...Wanaangalia maendeleo ya Watoto wao walioko shule saa ngapi?je, wanakagua hata madaftari ya watoto wao? je, huo muda wanao?

Nawasihi ndugu zangu Waislamu turejee majumbani, tukae na watoto wetu na kukagua maendeleo yao badala ya kukalia siasa ambazo kwangu mie hazina msingi. Watoto wa wenzetu Wakristu sasa wanasoma, wanasimamiwa baadae watafaulu mitihani na sie tutabakia kulalama kuwa wamefeli kwa sababu wao ni Waislamu.

Tupeleke watoto wetu shule tafadhali...
 
1. Vurugu ya kuchoma makanisa

2. Fujo na kuchoma maduka

3. Kuua Polisi

4. Kutaka kumuua mtoto kisa kitabu kimekojolewa

5. Kwenda msikitini kupanga maandamano ya vurugu badala ya kusali

6. .....

We achana na walimwengu, hata kama wangeambiwa wavue nguo bado wangefanya vivyo hivyo!!
Nakwambia wapo wengi tu watakaosilimu, ILA wenye upungufu wa akili, busara na utashi!!! Hainiingii akilini, ni Mola yupi huyu anayekubaliana na maovu kama hayo?? labda mola wa kujiundia hapa hapa duniani!!
 
>>>>TAFADHALI MSIFUTE UZI HUU, LENGO NI KUELEIMISHANA HAPA.

Ndugu zetu Waislamu wamekuwa wakiandamana na kulalamika kwa kila kitu hapa nchini kuwa "wanaonewa"(sina uhakika na hilo manake mie siyo Muislamu wala Mkiristu).

Suali langu kwa ndugu zangu Waislamu ni kuwa je, mwaka huu watoto wao wakifeli na mwakani na miaka ijayo bado wataandamana? Nauliza hivyo kwa sababu wao kila siku ni kuandamana na kukusanyana mitaani kulalamikia serikali...Wanaangalia maendeleo ya Watoto wao walioko shule saa ngapi?je, wanakagua hata madaftari ya watoto wao? je, huo muda wanao?

Nawasihi ndugu zangu Waislamu turejee majumbani, tukae na watoto wetu na kukagua maendeleo yao badala ya kukalia siasa ambazo kwangu mie hazina msingi. Watoto wa wenzetu Wakristu sasa wanasoma, wanasimamiwa baadae watafaulu mitihani na sie tutabakia kulalama kuwa wamefeli kwa sababu wao ni Waislamu.

Tupeleke watoto wetu shule tafadhali...

Wewe tunza watoto wako, acha kimbele mbele....
 
wanawaza ukristo zaidi kuliko hata uislam wao.
 
Back
Top Bottom