Mbowe: Mabomu yamerushwa na Polisi kwa maagizo ya Serikali

Viko wazi kiasi gani? au unadhani kesi inaendeshwa kwa mawazo ya mtu mmoja tu mkuu? tena Dj?
Katika mkutano huo kulikuwa na watu wengi wanapiga video kutoka pande mbalimbali.

Amesema ana ushahidi wa video. Ametamka hadharani na atawajibika kuutoa ushahidi huo. Na yeye ni mtu mzima anaelewa matokeo ya kudanganya katika suala kubwa kama hilo, endapo kauli aliyotoa si ya kweli.

Kama amedanganya bila shaka atachukuliwa hatua kali kwa hiyo kulumbana hapa juu ya kauli yake haisaidii. Yeye ndiye angepaswa kuogopa wala si mimi au wewe au mwingine yeyote.

Wewe na mimi hatujui ushahidi alio nao.

Tuwe na subira.
 
Hongera Kamanda Mbowe intelijenzia yako naiaminia. Sasa Nchemba, Nape, Lukuvi, Nchimbi, Mwema na Mulongo tuone watasema nini.
 
Mbowe ni miongoni mwa viongozi waliofilisika kisiasa,we mtu ni kiongozi
wa juu wa chama, anawezaje kukamilisha uchunguzi kwa siku 2 tu,na kutoa
maelekezo kwa wafuasi wa chadema eti kuwa ni polisi wamehusika? once a dj
always a dj,ye anadhani pale ancheza santuri na kuzigeuza! C'mon, we
are talking about humans life here not blar blar!

Ulichoandika hapa ni upumbuwani na inaelekea una utindio wa ubongo na si kawaida
 
Mwenyekiti wa chadema mh Freeman Mbowe amesema polisi wanahusika na milipuko katika mkutano wa chadema na kuua watu watatu.Mh Mbowe amesema ana ushahidi na picha za video za tukio hilo.Mh Mbowe alisema hayo akihojiwa na Itv.

Na katibu wa itikadi wa CCM bwana Nape Nauye amesema mabomu yalirushwa na Chadema. Amedai Lema alisema ni lazima CDM AR washinde kwa vyovyote vile bila kujali kama wananchi wamewakataa au la. Maneno haya kayasemea Dodoma. Source: ITV

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ngoja tuzike mashujaa wetu wamekufa wakisikiliza nasaha za viongozi dhidi ya watawala makupe
 
Mkuu vp mbona unakuwa na jazba na hasira ghafla namna hii jamani! kweli tutafika? au ndio ushaamini maneno ya Dj wenu? hebu tupishe uchunguzi wapendwa toeni ushirikiano kama mna habari sahihi

Kila mtu anakuona umepotoka. Sasa hivi umeanza kuwa mpole! Jitulize ukishindwa wanaume watakutuliza.
 
We unadhani Mbowe ni mzima! kiongozi gani mwenye akili timamu anaweza kuchongenisha dola na raia haraka namna hii kwa ushahidi wa hisia? hivi angekuwa Raisi wa nchi huyu,tungetokewa na missunderstanding ndogo tu huyu si angeamrisha vita huyu ye anadhani pale ana "scrach cd" asituchanganye hapa!

ushahidi wa hisia! Time will tell asubuhi nilisema ushahidi upo na IGP Jana aliambiwa watu walimpiga hadi picha mlipuaji alipokimbilia kwenye 110 nyeupe ya polisi na jinsi polisi walivyo react inatia Shaka.. Kuanzia tukio la uhasibu jinsi mkuu wa Mkoa alivyotaka kupotosha umma kuhusu Lema watu wako MAKINI evidence ziko Nyingi, we subiri utaona eye witness wangapi wataelezea ukweli Asante kwa technology kila. Kitu kutakuwa wazi, ushahidi upo wa kutosha hata baadhi ya polisi Wema wako tayari kushuhudia... Mtajibeba this this time
 
mungu wangu wanafanyia zoezi kwa raia mbowe na wabunge wote poleni mh lema jipe moyo mungu hanywi chai kwamba atahongwa na siri za moyo wa mwanadam ziko wazi mbele za mungu na mipango yote POLENI NA TANZANIA umemeza damu zisizo na hatia chini ya uongozi wa ccm
 
ccm ni wahusika hata mtoto wa darasa la pili analijua hili...lakini wakumbuke wanao kufa ni binadamu tena wa watanzania, ipo siku! Jk endelea kula bata ulaya
 
Na katibu wa itikadi wa CCM bwana Nape Nauye amesema mabomu yalirushwa na Chadema. Amedai Lema alisema ni lazima CDM AR washinde kwa vyovyote vile bila kujali kama wananchi wamewakataa au la. Maneno haya kayasemea Dodoma. Source: ITV

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

nasubiri evidence ya pande zote.......
 
Mwenyekiti wa chadema mh Freeman Mbowe amesema polisi wanahusika na milipuko katika mkutano wa chadema na kuua watu watatu.Mh Mbowe amesema ana ushahidi na picha za video za tukio hilo.Mh Mbowe alisema hayo akihojiwa na Itv.
Please these accusations zinatupeleka kubaya kama taifa. CHADEMA should only demand for an independent inquiry siyo kutoa conclusion ambazo hazijathibitishwa. Hii ni hatari. Tunapalilia njia kwa watu wabaya kutuingilia. L hope vyombo vyetu vya usalama vinayaona haya, kutofanya kazi kwao kwa welefi kunalifunua taifa letu!
 
Huyo polisi atapandishwa cheo kutoka copral hadi Inspector-utaona awamu ijayo ya promotion ya ranks za wauaji kwa maslahi ya ccm

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Huenda kwani ukifuatilia maneno yanayosemwa majukwaani na viongozi wa ccm haihitaji nguvu kumjua mwizi

Tamko la Lukuvi leo kwa kweli halikuwa la weledi kabisa. It was far too much on the defensive. Bora asingetoa tamko.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mwenyekiti wa chadema mh Freeman Mbowe amesema polisi wanahusika na milipuko katika mkutano wa chadema na kuua watu watatu.Mh Mbowe amesema ana ushahidi na picha za video za tukio hilo.Mh Mbowe alisema hayo akihojiwa na Itv.

Ama kweli sasa nakubaliana na yule mh. Mbunge aliyesema polisi wameshindwa, bora iwe sehemu ya JWTZ ili nidhamu irudi. Sasa polisi wako mifukoni mwa wanasiasa wa ccm, hawafurukuti hata kidogo!
 
Kuhusu yaliyojiri Arusha Mh. Mbowe amesema ni mpango ulioratibiwa na serikali inayoongozwa na CCM,amedai kuwa ushahidi wa video wanao pamoja na picha ya matukio mazima,anasema bomu lilirushwa na askari wa kutuliza ghasia aliyekuwa amevalia sare yake ya kazi. source ITV habari ya saa mbili Uşiku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom