Pope Benedict VXI atangaza kuachia ngazi

Pope Benedict VXI atangaza kuachia ngazi

Kosa lake ni nini ?
POPE.jpg
 
Papa ametangaza kujiuzulu rasmi tarehe 28 mwezi huu wa 2 baada ya kuona ukweli wa haki kupitia kitabu kitkatifu cha QUR'AN. Wasiwasi unazidi kutanda katika dunia ya Wakriasto mara baada ya Tangazo hilo la Papa wa 16. Hakika UISLAM haupingiki kwa hali yoyote ile.

Nadhani Una mapungufu ya akili

Mzee wa watu kaona kachoka kimwili na kiakili wewe unahusisha na Qurani. sijui mijitu mingine mnatumia masaburi kuanalyse mambo au ni ulevi wa Uislam wako
 
mkuu kabla ya kupost jaribu kwanza kuangaza macho, make hapa ni kujaza serva tu
 
Papa ametangaza kujiuzulu rasmi tarehe 28 mwezi huu wa 2 baada ya kuona ukweli wa haki kupitia kitabu kitkatifu cha QUR'AN. Wasiwasi unazidi kutanda katika dunia ya Wakriasto mara baada ya Tangazo hilo la Papa wa 16. Hakika UISLAM haupingiki kwa hali yoyote ile.

Yaelekea bado umtoto na unanyonya wewe.

maneno ya vijiweni unaleta hapa JF, lete source yako ulipopata haya maneno.
 
Papa ametangaza kujiuzulu rasmi tarehe 28 mwezi huu wa 2 baada ya kuona ukweli wa haki kupitia kitabu kitkatifu cha QUR'AN. Wasiwasi unazidi kutanda katika dunia ya Wakriasto mara baada ya Tangazo hilo la Papa wa 16. Hakika UISLAM haupingiki kwa hali yoyote ile.
Wee ----- kweli, yaani matangazo yote yaliyojaa CNN, RT, Yahoo news hujaweza kuona ni kwa sababu zipi Papa anajiuzulu? Hivi Uislamu una nguvu wapi katika dunia hii. Nenda kwenye ramani katafute nchi zenye wailamu wengi duniani; hata robo tu ya nchi zote haifikii.
 
Yo may have the point lakini ujuwe wanaopiga kura ya kumchaguwa Papa ni macardinal, na Italy peke yake ina macardinal zaidi ya 20.

Hakuna Cardinal wa kutoka Africa usijidanganye hizi ni dini za Wazungu na Waarabu sisi tumedandia treni kwa mbele tu.
Kadinali Pengo Mtaliani?
 
Kwa mujibu wa http://www.aljazeera.com/news/europe/2013.....
Ni kweli msemaji wa Papa Benedict amekiri kuwa Papa ata achia ngazi. Sababu iliyotajwa ni umri mkubwa, hivyo hawezi kuendelea kutekeleza majukumu ya ki-Papa.
"Benedict, 85, said that he no longer had the strength to fulfill his duties, due to his advanced age, the Reuters news agency reported. For this reason, and well aware of the seriousness of this act, with full freedom I declare that I renounce the ministry of Bishop of Rome, Successor of Saint Peter," he said according to a statement from the Vatican.The senior cardinal of the Vatican will take over Benedict's duties following his stepping down, until a conclave of Catholic Church cardinals can be held to choose his successor". http://www.aljazeera.com/news/europe/2013/.. on 11/02/2013 at 1430hrs.
 
Papa ametangaza kujiuzulu rasmi tarehe 28 mwezi huu wa 2 baada ya kuona ukweli wa haki kupitia kitabu kitkatifu cha QUR'AN. Wasiwasi unazidi kutanda katika dunia ya Wakriasto mara baada ya Tangazo hilo la Papa wa 16. Hakika UISLAM haupingiki kwa hali yoyote ile.
Hivi kumbe qurani ni kitabu cha dini ya kiislamu? asante kwa kunifumbua macho nilikuwa sijui, kwa maana hilo neno nimelisikia kwa muda mrefu sana!
 
Papa ametangaza kujiuzulu rasmi tarehe 28 mwezi huu wa 2 baada ya kuona ukweli wa haki kupitia kitabu kitkatifu cha QUR'AN. Wasiwasi unazidi kutanda katika dunia ya Wakriasto mara baada ya Tangazo hilo la Papa wa 16. Hakika UISLAM haupingiki kwa hali yoyote ile.

Hapo hujanywa pombe ila unaonekana umelewa, je ukinywa itakuaje? Uislam haupingiki kwako sio kwa wengine!
 
Califgoban, Mbona umeanza na uislam...Pili pili usiyoila yakuwashia nini mkuu.....Anajiuzulu kutokana na matatizo ya kiafya na sio wa kwanza kufanya hivyo. At the age of 85 unataka aseme anajiuzulu kutokana na nini? Acha propaganda za dini mkuu zingatia jinsi utakavyoiokoa roho yako kutokana na Imani yako.
 
Back
Top Bottom