Recent content by Wanu

  1. Wanu

    JamiiForums Tanzania Napendekeza route mpya Mbezi Luis - Bunju

    Kweli kabisa hata sisi watu wa mpji magoe inakuwa ngum sana kwenda bunju, na zaidi ya yote watuwekee lami
  2. Wanu

    JamiiForums Tanzania DC Gondwe aagiza Wanafunzi watatu wafukuzwe Shule kwa kujihusisha na vitendo viovu

    Wakibaki shule wataambukiza wenzao
  3. Wanu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada hii kitaalam imekaaje

    Chukuwa tu wote wawili hakuna tatizo kabisa.
  4. Wanu

    JamiiForums Tanzania Halotel na kifurushi cha Royal

    Mi Pia nimeitupa hovyo kabisa, hope na tigo nao wanaelekea huko
  5. Wanu

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja Tsh. 30,000/-

    Mkuu jibane ujenge hata chumba kimoja, wanakugeuza mtaji Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Wanu

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Walioambukizwa Covid-19 hawapati maambukizi mapya

    Mi nadhani kinga yangu ni ndogo maana nimeugua mara mbili ni ndani ya mda mfupi sana nadhan ni interval ya mwez mmoja tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Wanu

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na maneno haya ni neno gani jingine nimelisahau

    Dawa walishapata si kujifukiza Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Wanu

    JamiiForums Tanzania Everything goes wrong (naelekea nisipotaka kuelekea)

    Pia nimeliwaza hili mama aliamua kumsaidia kulingana na uwezo na maono yake na akakiri kuwa chakula hakikuwa shida tena then akaamua kutupa Dawa. Akawaza aanze kwenda kwa kina mwamposa then anataka msaada gan mwingine?? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Wanu

    JamiiForums Tanzania NHIF, kwanini vifurushi vipya vikatae kutibu figo, moyo na kansa?

    Ni wajibu wa serikali kuhakiksha Mwananchi wake anapona hata kama hana bima, unaposema wakitoa zaidi ya wanachopokea wana collapse sasa serikali inamchango gani hapo??
  10. Wanu

    JamiiForums Tanzania Ushauri maboss wangu wa mwanzo

    Walikubania kwenda Italy wanini tena hao, ila kama huna cha kufanya bas nenda.
  11. Wanu

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli wakati mwingine maisha ni ufala sana

    Furaha na amani inatoka wapi wakati unaumwa na huna hela ya sawa??
  12. Wanu

    JamiiForums Tanzania Serikali yashusha gharama za kupima ugonjwa wa homa ya Dengue

    Bado haijajulikana nilisisitizwa kunywa maji mengi na panadol
  13. Wanu

    JamiiForums Tanzania Serikali yashusha gharama za kupima ugonjwa wa homa ya Dengue

    Wangeruhusu NHIF ipime mi nimeshindwa kupima jana maana hospital ya Dr's plaza wanapima kwa 50,000. Nimebaki na ugonjwa wangu
  14. Wanu

    JamiiForums Tanzania Mtu kupigwa na kuchomwa moto mbele ya askari mwenye silaha nzito, nini maana yake? Tuna Jeshi dhaifu?

    Mwizi haki yake ni kuuwawa we unaetetea hujawahi kuibiwa, huku mtaani kwetu wezi wanatulaza macho mtu umetafuta mali kwa shida halafu yeye anakuja kuiba na pengiza anaweza kukujeruhi halafu unamtetea hujajuwa uchungu wa kuibiwa. Ndo maana jpm alisema majambazi wanyang'anywe silaha haraka haraka...
  15. Wanu

    JamiiForums Tanzania Unafanya nini mbwa wako kuwa mkali

    Kama unga wa mahindi sio mzuri je ni chakula gan ndo kinamfaa??
Back
Top Bottom