Ushauri maboss wangu wa mwanzo

saleni

JF-Expert Member
Apr 6, 2019
229
250
Wanazengo kuna kitu nimewaza mpaka basi, nilikuwa nafanyakazi, kwa miaka mingi, nikaacha hiyo sehemu ilikuwa kwenye mashirika ya dini, walinipenda ila maboss wa huku wakinibania mkuu wa shirika alitaka niende kufanyia ltaly, wao wakabana.

Nilivyoacha hawakupenda, niache kazi kwao, walinifanyia sherehe wakanipa zawadi, sasa siku si nyingi walienda home kuwasalimia wazazi wangu, wakaomba namba kwakuwa nilibadilisha, hii mpya, wameniambia jmos niende shirikani kwao nikakubali, tatizo mimi nikiachaga kazi sipendi kurudi hiyo sehemu, naomba mnishauri kwa hili.
 
Wanu

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
353
250
Walikubania kwenda Italy wanini tena hao, ila kama huna cha kufanya bas nenda.
Wanazengo kuna kitu nimewaza mpaka basi, nilikuwa nafanyakazi, kwa miaka mingi, nikaacha hiyo sehemu ilikuwa kwenye mashirika ya dini, walinipenda ila maboss wa huku wakinibania mkuu wa shirika alitaka niende kufanyia ltary, wao wakabana, Nilivyoacha hawakupenda, niache kazi kwao, walinifanyia sherehe wakanipa zawadi, sasa sku si nyingi walienda home kuwasalimia wazazi wangu, wakaomba namba kwakuwa nilibadilisha, hii mpya, wameniambia jmos niende shirikani kwao nikakubali, tatizo mi nikiachaga kazi sipendi kurudi hiyo sehemu, naomba mnishauri kwa hili.
 
saleni

JF-Expert Member
Apr 6, 2019
229
250
Walikubania kwenda Italy wanini tena hao, ila kama huna cha kufanya bas nenda.
Mama yangu anawapenda kweli, mpaka kawapa zawad walivyokuja home, nakuniambia nirudi kufanya Kazi kwao tena.
 
nickder

JF-Expert Member
Oct 9, 2016
201
250
Wanazengo kuna kitu nimewaza mpaka basi, nilikuwa nafanyakazi, kwa miaka mingi, nikaacha hiyo sehemu ilikuwa kwenye mashirika ya dini, walinipenda ila maboss wa huku wakinibania mkuu wa shirika alitaka niende kufanyia ltary, wao wakabana, Nilivyoacha hawakupenda, niache kazi kwao, walinifanyia sherehe wakanipa zawadi, sasa sku si nyingi walienda home kuwasalimia wazazi wangu, wakaomba namba kwakuwa nilibadilisha, hii mpya, wameniambia jmos niende shirikani kwao nikakubali, tatizo mi nikiachaga kazi sipendi kurudi hiyo sehemu, naomba mnishauri kwa hili.
kapige kazi mama usiangalie watakuchukuliaj au we mwenyew unajistukia tu ile kurud sehem ambayo ulishaa ach kazi, kapambane
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
9,088
2,000
Wanazengo kuna kitu nimewaza mpaka basi, nilikuwa nafanyakazi, kwa miaka mingi, nikaacha hiyo sehemu ilikuwa kwenye mashirika ya dini, walinipenda ila maboss wa huku wakinibania mkuu wa shirika alitaka niende kufanyia ltaly, wao wakabana.

Nilivyoacha hawakupenda, niache kazi kwao, walinifanyia sherehe wakanipa zawadi, sasa siku si nyingi walienda home kuwasalimia wazazi wangu, wakaomba namba kwakuwa nilibadilisha, hii mpya, wameniambia jmos niende shirikani kwao nikakubali, tatizo mimi nikiachaga kazi sipendi kurudi hiyo sehemu, naomba mnishauri kwa hili.
Huna ubaya nao, wasiwasi wa nini. He hujiamini na unafikiri watakushawishi urudi kwenye kampuni yao?
 
saleni

JF-Expert Member
Apr 6, 2019
229
250
Huna ubaya nao, wasiwasi wa nini. He hujiamini na unafikiri watakushawishi urudi kwenye kampuni yao?
Nilikwenda kuwasabahi, wakanikaribisha mezani nikala nao, ila kunidodosa dodosa, hasa nilivyotoka kwao tofaut na sasa, wamenywea mpaka kuna tenda ya kubeba wanafunzi nikawaulizia, nimtume dereva , mabosi wengi wanapenda tufurie, wawe juu si wachovu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom