Msaada hii kitaalam imekaaje

sajidath

New Member
Feb 7, 2021
3
45
Nilikuwa na mpenzi wangu nikiwa kidato cha nne nilipofika cha tano akaniacha nikaja sikia ana date na jamaa mwingine wakati huo amebahatika kupata kazi ya kuuza duka mimi nikiwa sina ramani ndo kwanza nipo kidato cha sita.

Nilimaliza kidato cha sita nikafanikiwa kujiunga na chuo kikuu watu wakapeleka taarifa kuwa ex wako amefanikiwa kuenda chuo kikuu.

Baada ya muda kama miezi 4 hiv nikiwa likizo kijijin kwetu nilibahatika kumpata binti mmoja hivi alinipenda sana

Nakumbuka siku moja ex wangu alininitafuta baada ya yeye kusikia nina mtu mwingine kwa sasa kwani pia nilifanikiwa kuanzisha biashara yangu ambayo inanilipa kiufupi maisha sio mabaya sana sasa akaanza kusema anahitaji turudiane kwani ameona mimi ndiye mwanaume sahihi kwake wengine hawatawezana nikamwambia nina mahusiano ananishawishi nimuache huyu mpenzi wangu wa sasa nimrudie yeye akidai kuwa ameishamwacha huyo jamaa yake.

Sasa hapo wadau imekaaje kaaje hili swala.????
 
Wanu

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
354
250

Chukuwa tu wote wawili hakuna tatizo kabisa.
 
The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
7,097
2,000
Huyo wa mwanzo alikuacha coz alikuona wewe ni kapuku huna dira,sasa hivi anataka kujirudisha kwako coz ameona una uelekeo mzuri,ila tambua kabisa kua siku ukijikwaa tu atakukimbia tena coz hana mapenzi ya dhati bali ana tamaa tu,

Achana nae huyo hakufai,endelea na uliye nae sasa hivi.
 
Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
30,091
2,000
It's simple mathematics mate, unafelije kuling'amua hilo??
Mkono wako kwa sasa una kitu hivyo unatakiwa kulambwa. Since mkono mtupu haulambwi
 
Sang'udi

JF-Expert Member
May 16, 2016
2,784
2,000
inategemea malengo na upendo wako. fuata moto wako ila kwa kutumia akili.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
15,834
2,000
Nilikuwa na mpenzi wangu nikiwa kidato cha nne nilipofika cha tano akaniacha nikaja sikia ana date na jamaa mwingine wakati huo amebahatika kupata kazi ya kuuza duka mimi nikiwa sina ramani ndo kwanza nipo kidato cha sita.

Nilimaliza kidato cha sita nikafanikiwa kujiunga na chuo kikuu watu wakapeleka taarifa kuwa ex wako amefanikiwa kuenda chuo kikuu.

Baada ya muda kama miezi 4 hiv nikiwa likizo kijijin kwetu nilibahatika kumpata binti mmoja hivi alinipenda sana

Nakumbuka siku moja ex wangu alininitafuta baada ya yeye kusikia nina mtu mwingine kwa sasa kwani pia nilifanikiwa kuanzisha biashara yangu ambayo inanilipa kiufupi maisha sio mabaya sana sasa akaanza kusema anahitaji turudiane kwani ameona mimi ndiye mwanaume sahihi kwake wengine hawatawezana nikamwambia nina mahusiano ananishawishi nimuache huyu mpenzi wangu wa sasa nimrudie yeye akidai kuwa ameishamwacha huyo jamaa yake.

Sasa hapo wadau imekaaje kaaje hili swala.????
Akili yako ni ndogo sana.
 
Franky Samuel

JF-Expert Member
Oct 10, 2018
680
1,000

Imekaa kichwa chini miguu juu
 
Thefirstborn

JF-Expert Member
Feb 20, 2021
256
250
Aliyekuona hufai akakuacha Leo anakuhitaji na kukuomba umuache uliyenaye🤔🤔
Hapo huna Cha kushauriwa ila ujue kunamuda hata shetani anakuwa malaika.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom