Ebu tunaone tunavyo lalamika maisha magumu, magumu CCM haijafanya kitu tunasema, lakini ikifika 2015, tukapewa tisheti na kanga za kijani tunasahu yote, hivi tunataka nini lakini?
Sio siri kuna haja ya kuwa makini sana katika uchaguzi mkuu ujao sivyo tutalia na kusaga,sio katika kuchagu...