Kuna siri nzito kwenye Deni la Taifa

Kuna siri nzito kwenye Deni la Taifa

Usikute hawa viongozi wetu hawajui implication ya kukua kwa Deni la Taifa.
Maana itafika kipindi tutakuwa hatukopesheki kwa madeni kila kona tena ya kujitakia bse hayana impact kwa uchumi wetu.
Kama walichukua kujenga roads mbona roads nyingi zimesimama kujengwa kisa ela?
Kama ni kulipa salaries mbona kuna watu it takes time kupata salaries
wanajua mkuuView attachment 51919
 
Hlo ni deni la ccm na co deni la watanzania.over
 
Du nakushukuru sana kwa kukokotoa hesabu hizo, ukizingatia wengine hapa hebu alikuwa baba mkwe,ila ukweli ni kwamba mimi huo mshiko sijatumia hata kidogo, ila wakati ukifika pale nitakapo choka na wananchi wengine wakawa wamechoka ndipo tutafukua zilipowekwa tena wahusika wakilambwa mboko wewe wait.
 
kp1.jpeg
 
Fedha za Kitanzania Tsh 14,400,000,000,000/
Hili ndilo deni la Tanzania,
linasomeka Trilioni 14
nukta 4 ukinyambua
vyema ni kuwa kila Mtanzania anadaiwa Tsh 335,000/=

Deni hili limekuwa
likiendelea mwaka hadi mwaka, huku mzigo wa kulilipa tukibebeshwa
wananchi. Je, mikopo yote ya ndani na nje inatusaidia nini katika
kuboresha maisha yetu na uchumi wa
nchi yetu?

Je, kwa mtindo huu wa rushwa na matumizi mabaya kama viongozi
kulipana posho kubwa kubwa zinachangia kulikuza
deni hilo? Nini kifanyike kulipunguza?

Je madeni haya
yamekusaidia Mtanzania kupata neema ya elimu au ya kimaisha?!
Vipi vijana wanapata mikopo ya elimu kwenye vyuo vikuu?
 
Ni nani anatudai? waambie wawasiliane na mimi mapema niwape hiyo ya kwangu, 335000/ au watoe akaunt number zao tuwatumie moja kwa moja ingawa waliokopa hawajatuambia walikopa kwa ishu gani, unaweza kuta wamekopa kujengea mahekalu, kuwapeleka watoto wao nje, kuibia kura za ubunge na uraisi,

Cha kusikitisha kwenye kulipa tunalipiswa wote, na bado wanakopa mpaka mwisho wa mwaka huu inaweza kuwa 15 trilioni
 
Haya ndiyo 'maisha bora kwa kila mtanzania'!!!
 
Nilipokuwa nawaomba wabunge kuwepo na kipimo cha mwisho cha kukopa serikalini wengine mlisema huo ni mtazamo wa nchi za magharibi. Mnasikitika nini si mmekubali serikali kuwa na credit card isiyo na limit
 
Fedha za Kitanzania Tsh 14,400,000,000,000/
Hili ndilo deni la Tanzania,
linasomeka Trilioni 14
nukta 4 ukinyambua
vyema ni kuwa kila Mtanzania anadaiwa Tsh 335,000/=

Deni hili limekuwa
likiendelea mwaka hadi mwaka, huku mzigo wa kulilipa tukibebeshwa
wananchi. Je, mikopo yote ya ndani na nje inatusaidia nini katika
kuboresha maisha yetu na uchumi wa
nchi yetu?

Je, kwa mtindo huu wa rushwa na matumizi mabaya kama viongozi
kulipana posho kubwa kubwa zinachangia kulikuza
deni hilo? Nini kifanyike kulipunguza?

Je madeni haya
yamekusaidia Mtanzania kupata neema ya elimu au ya kimaisha?!
Vipi vijana wanapata mikopo ya elimu kwenye vyuo vikuu?

Wengine tuliwaomba wabunge wawekee kikomo serikali na speed yake ya kukopa. Serikali inakopa kama mtoto mdogo aliyepewa credit card !!!
 
huyo anaetudai alete basi invoice tulipe....wengine hatujazoea kudaiwa.....
 
MKUU usishituke hata china inadaiwa, ugiriki inadaiwa na mataifa makuubwa kabisa yana madeni.
 
Dhahabu, almasi, tanzanite, kodi mara kumi kumi za TRA, gesi asilia, mapato ya zanzibar, kwanini tushindwe kujiendekeza wenyewe? Kwanini tuombe ombe tu? Mi nashangaa na sielewi why we africans in 21st century still tunawategemea akina USA na wenzake while they had to depend on us! Tumebarikiwa na kila kitu barani afrika, kila kitu sisi tunacho afrika lakini bado tu twataka misaada!
 
kwa matanuzi haya kwa nini deni lisiongezeka? rais anaenda kukutana na ex kocha ili iweje

wewe unafikili hizo siku 5 za kukaa brazil zitatimiaje kama asipokuwa na vijishukuli kama hivyo?
 
Kweli bora ukose mali kuliko kukosa akili. Wajapan wanajua vema nasema nini. Watanzania wanacheka cheka tu na kujikomba komba kuomba misaada kama vile ni yatima na walemavu.
 
sijasoma taarifa ya Utouh lakini mtu makini unaweza nusa hila zake. Kwanza anachambua misamaha ya kodi ile iliyokua rahisi kujua kama msamaha kwa maafisa wa serikari LAkini hachambui misamaha kwa makampuni ya madini na mashirika ya dini.

Kwanini nasema kuna hila?
1. CAG anasema msamaha ulikua kama trilion 1.. Lakini anahitimisha kwa kivumishi kwamba usingekua msamaha basi TRA ongekusanya trillion 6.5
2. CAG anasema deni la nchi limekua lakini hasemi kwanini limekua. Kwa ukaguzi wa kisasa ni lazima mkaguzi aseme sababu za tatizo.
3. Kukua kwa deni la taifa sio lazima kwamba taifa lomekopa sana pesa kutoka nje. deni linaweza kukua kutokana na riba ya madeni ya zamani na kutokana na kukopa huduma kwa watumishi wa serikali wanaofanya kazi bila malipo kwa muda unaostahili. mfano ni deni la waalimu na wazee wa africa mashariki.

CAG anao wajibu wa kuandika report inayoeleweka kirahisi ili isiwe chachu ya chuki nchini. katika haya mi naona CAG haitendei haki serikali na wanachi. Naamini anafanya hivyo ili aonekane anakosoa serikali ipasavyo kujaribu kuficha upendeleo alioufanya kwa Jairo na Luhanjo
 
Kudaiwa sio issue, issue ni kuwa hela za mkopo tulifanyia nini? Kama tumefanyia hitima na kununua suti za kuendea mikutanoni ndo tatizo linapoanza!
MKUU usishituke hata china inadaiwa, ugiriki inadaiwa na mataifa makuubwa kabisa yana madeni.
 
Back
Top Bottom