Uchama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchama

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Voice of Voices, Jul 15, 2011.

 1. Voice of Voices

  Voice of Voices Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani Watanzania wenzangu ebu fumbuka macho na akili zetu, ona uko Mtwara mwanamke anapigwa na mmewake kwa ajili tu amepata msaada, hali ambayo mwanaume kwa ufahamu wake mdogo na kwa kuwa yeye yupo CUF inaonekana ni chama cha CCM na mbinu zake za kuwateka wananchi kupitia kuwapa msaada.

  Kusema ukweli watanzania hatutaendelea kama tutakataa maendeleo tu kwa ajili ya uchama, hivi kwani CCM ikitoa uga ukapika ugali ukala na ukabaki katika chama chama chako wanakuja kukudai baadae?.

  Mimi Binafisi sina chama lakini naangalia maendeleo, kama CUF tunakupa hiki kukusaidia napokea na CCM wakaja wakasema nakupa hiki napokea pia ila nitakataa kununuliwa na nitabaki na msimamo wangu. Sasa wananchi wenzangu tufkirie mara mbili kabla ya kutenda badala ya kukurupuka na kukataa maendeleo kwa sababu tu ya uchama.
   
Loading...