JambaziSugu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 245
- 203
Habari wana jf. Eti kwanini wasichana wanawahi mapema kujiinvolve kwenye sexual affairs kuliko wavulana? Utakuta binti wa miaka 16 form 2 tu tayari kashayajua mapenzi. But most of boys inakuwaga love story tu, utakuta miaka 22 kamaliza high school ndo anaanza kuijua sex. Ni kwamba wavulana wanachelewa kujielewa ama mabinti ndo wanakimbilia mambo?