Chanzo cha kushuka kwa elimu ni lugha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chanzo cha kushuka kwa elimu ni lugha

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by twenty2, Jul 22, 2011.

 1. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli chanzo cha kushuka kwa elimu ni lugha kwasababu lugha inayotumika kufundishia mashuleni ni lugha ngeni.Inatakiwa kiswahili kipewe kipaumbele zaidi kuliko linavyofanywa kama somo shuleni.
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  GT atakwenda zaidi ya hapa. Ataonesha pembe zote za argument yake, ataitetea na atahakikisha wasomaji (hadhira) wake wanamwelewa, wanatafakari. Sio kwa namna hii. Panua hoja yako.
  • kwa nini unafikiri lugha ni tatizo?
  • kushuka kwa kiwango cha elimu unakokuzungumzia, unakufananisha na wakati gani, nchi gani, ngazi ipi ya elimu?
  • unapodai kuwa ni 'ni kweli' katika hoja yako, unatumia taarifa (data) zipi ili kufikia hitimisho hili?
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Wakati elimu haijashuka walikuwa wanatumia lugha gani..., naomba unifafanulie kama kushuka kwa elimu kulianza pale pindi lugha ilipobadilishwa
   
 4. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hao wa nchi nyingine za asia, afrika wanatumia lugha gani? swala la kutokujua kiingereza ni uzembe wa mtu mwenyewe
   
 5. Nguchiro

  Nguchiro JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  We nawe umesoma wakati kiwango cha elimu kimeshuka nini?Convince us how lugha is related 2 dropping of educational standards wadogo wa sasa wengi viraza mpaka wanakera hiyo discussion yako ikibase ktk lugha tu unakuwa unatutania, huwezi fanya research based on 1 factor kuna vitu vingi hujaangalia mf
  @dent mwenyewe
  @mzazi/mlezi ana influence gani katika elimu ya mtoto
  @walimu wakoje si unajua kuna wale wa vodafasta
  @facility za kujifunzia
  @mitaala/sylabus zikoje
  @muundo wa elimu ukoje(mitihani) sisi tulikuwa na paper za maana std 4 n 7, form 2,4 n 6 wakati sasa mambo ni ovyo std 4 hakuna paper,std 7 multiple choice questions,paper form 2 average imepungua toka 30 ambayo ilikuwa ndogo pia sijui sasa ni ngapi, form 4 ndo kama mwaka jana 85% ni div 4 n 0
  @wizara husika inaongozwa na waziri gani mf kipindi cha Mungai ndo elimu ilikuwa sifuri kabisa ila yote 9 wadogo wa sasa hawajitumi kabisa na hakuna means za kuwaenforce wasome kama matumizi ya fimbo ambayo siku hizi mtoto anachapwa fimbo zisizozidi 3 na mpaka mwalimu asaini kitabu cha adhabu kwamba anamchapa mtoto, huo ni u**********, im outta here
   
 6. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  imagine biology inafundishwa kwa kiswahili .. alafu topic ni reproduction!.... tehtehe...!

  kiswahili kibaki tu lugha ya pili!.. kwa dunia ya sasa english muhimu! sanasana kwa nchi yetu tegemezi katika mambo yote..l. tungalikuwa tunaweza kutengeza computer zetu wenyewe hata kama feki kama wachina.. tungekuwa na maabara zetu wenyewe na kuvumbua vitu vyetu wenye katika huu ulimwengu wa science tungetupa english kama walivyofanya wachina na mataifa mengine yanayoendelea

  my point!

  English bado ni muhimu .. watoto wetu wapate kujifunza yale ambayo sisi wazee wao hatuyawezi.. kutoka nchi za jirani
   
 7. Nguchiro

  Nguchiro JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Lugha si kigezo cha wa2 kutofanya vizuri kwanza kiswahili bado kichanga na hakina maneno ya kutosha,sisi tuliweza wao wanashindwa nini?wadogo wanaendekeza michezo hawako serious na masomo, as i said earlier elimu ya bongo ya sasa toka nursery hadi chuo kikuu ni utani mtupu, unataka IT,MEDICINE, BIOLOGY,CHEMISTRY, PATHOLOGY etc ipigwe kwa kiswahili madent ndo mtawapoteza kabisa
   
 8. Voice of Voices

  Voice of Voices Member

  #8
  Jul 23, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu husifikirie unashambuliwa, lakini nafikiri labda ungezungumzia umuhimu wa lugha ya Kiingereza kutiliwa mkazo ili kuongeza kiwango cha elimu hapa nchini, hapa namaniisha anayejua kiingereza hauwezi kulinganisha na asiyejua kabisa. sasa tukisema tukiache kudhungu kabisa itatupashida katika masuala ya kazi lakini pia katika mawasiliano.
   
 9. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Reprt ya TWAWEZA East Africa inaonesha wanafunzi wa Tz waliokuwa Darasa la saba (7) waliofaulu mtihani wa darasa la PILI (CLASS 2) hawakufikia 40%... Hakuna KIINGEREZA HAPO kwani katika Kiingereza matokeo yake usiyaone...UTAKUFA KWA KIZUNGUZUNGU.....

  KWa kuwa lugha ya kigeni (KIINGEREZA) ni sehemu ya MASOMO YA MSINGI KWA SHULE ZA MSINGI TANZANIA BASI NALO LIWEKWE JITIHADA KAMA HISABATI nk
   
 10. Nguchiro

  Nguchiro JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tatizo sio lugha bwana mfumo wa elimu uliopo sasa uko diluted si kama zamani pia wadogo wa sasa wavivu sana
   
 11. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbe umeona tatizo likowapi na sio wote waliozaliwa wanajua kiingereza wamejifunza na sio wote wenye uwezo wa kusoma kwenye shule zenye uwezo since awali.
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Mbona somo la kiswahili watoto bado wanafeli?
  Babu yako alifundishwa kwa lugha gani?
   
Loading...