JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
sumu ya ndoa ni ...
Sumu ya ndoa ni kunyimwa unyumba,( mambo ya unyumba yakiwa yanakwenda vizuri, kila kitu kinafunikwa, hata kama ana wivu kupindukia, mchafu, mvivu, unakuta mwanamme anapika , huku akipiga mluzi, viwifi , kapewa madawa huyu, atapikaje na mkeo yupo nyumbani, kumbe hawajui kaka yao mambo anayopewa