Anti-gay law tabled in Uganda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anti-gay law tabled in Uganda

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by ByaseL, Oct 15, 2009.

 1. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sheila Naturinda
  Parliament

  A new law on homosexuality currently on the table of Parliament, could see some people jailed for life, Daily Monitor has learnt.

  Moved by Ndorwa East MP David Bahati, and seconded by Obua Benson Ogwal [Moroto], the Bill seeks to prohibit any form of sexual relations between same sex people, and also to strengthen the nation’s capacity to deal with emerging internal and external threats to a heterosexual family.
  Some of the salient features in the Bill include having an extra territorial jurisdiction for “a person who, while being a citizen of or permanently residing in Uganda, commits the offence under the law.”

  Aiding and abetting homosexuality, conspiracy to engage in the act, procuring homosexuality by threats and detention with intent to commit homosexuality is an offence under the law.
  “A person who keeps a house, or a place of any kind for purposes of homosexuality commits an offence and is liable on conviction to imprisonment for seven years,” states the Bill.
   
 2. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2009
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,994
  Likes Received: 1,559
  Trophy Points: 280

  lile kanisa linaloruhusu mashoga watalifunga kweli????????
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Uamuzi mzuri! Big-up watunga Sheria wa Uganda.
  Bongo ukileta sheria kama hiyo serikali itasema mashoga wana mtandao mkubwa sana na hawawezekani!!...lol!
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  Oct 15, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Good move, hiyo Sheria nayo ianzishwe Tanzania kabla hao mashoga hawajawa wengi na kupata nguvu ya kutetea wanazoziita "haki" zao!
   
 5. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,652
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  GayVaGiNa = GayVaNa + Gi (Garbage Islam)
   
 6. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  Mkuu kila issue ni dini mzee?
   
 7. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kusema kweli huu ni uchokozi dhidi ya dini ya watu. Swala ushoga halina dini, rangi au kabila. I think this being extra paranoid which borders on extreme irrationality!
   
 8. JS

  JS JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2009
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  asanteee bysel sio kila kitu kiwekwe kwenye udini jamani.
   
 9. JS

  JS JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2009
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  na wewe Ndjabu try to think out of the box saa zingine usitafute ubaya na watu na dini zao lol!!
   
 10. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Good of you Ugandans. We need the same law in TZ
   
 11. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ni bora kabisa hawa watu wapewe adhabu ya kutosha, watupwe jela milele. hapa tz pia, itabidi watu fulani wachunguzwe, hasa watu wa pwani wanaopenda sana kuwaingilia wake zao kinyume na maumbile, huu ni sawa tu na ushoga pia. hivyo huyo anayeleta udini, nafikiri alikuwa anatakiwa akumbushwe haya kuhusu maeneo mengi yaliyokithiri kwa uchafu huo hapa bongo, yaani Tanga na Zenji...na huko ndiko watu wa dini ya mwamedi ni wengi zaidi. sitaki kuendelea kusema, ila anatuchokoza uyo.
   
 12. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tukumbuke kwamba swala hili la ushoga lilianza kumchukiza Mwenyezi Mungu kule Sodoma na Gomora enzi zile za Abraham na mpwa wake Lutu. Mungu aliteketeza Sodoma na Gomora kasoro Lutu na Wanawe na mkewe aligeuka jiwe! Hii ilikuwa kabla ya dini yoyote ile kuwepo hapa duniani. Ushoga hauna dini ingawa nguvu za mashoga zimeaanza kuiteka dini.
   
 13. Violet

  Violet Member

  #13
  Oct 16, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhh mbona sio vizuri, maana sio gay wote ni wakujitakia, kuna wengine wamezaliwa nje mwanamme ndani wana mfuko wa uzazi kama wanawake, au wengine wanawake lkn, mwili una produce hormone za kiume , hivyo inawezekana akawa attracted kwa wanawake wenzie. Mfano yule mkimbiaji wa south afrika, haitakuwa ajabu kama anapenda wanawake
   
 14. October

  October JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Naona wewe unataka kuifanya hii Thread Kua ya Kidini na wakati haina uhusiano wowote na dini..

  Anyway Bravo Uganda kwa uamuzi Mzuri, Natamani sana hii sheria iletwe hapa Tanzania.
   
 15. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,652
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  Swali hilo muulize GayVaGiNa. And while you are at it, isingekuwa vibaya pia kama ungemuuliza ule msikiti kule Babati wanaolawiti vivulana vya darasa la tatu bado upo..
   
 16. P

  Patrick Nyemela JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2009
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  The law should also be enacted in Tanzania
   
 17. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2009
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,812
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  Watoto wa kibara wamegeuka walimu wa mchezo huu,angalia siku hizi hapa dar,wanaupenda hao!!
   
Loading...