Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,556
Chukua kadi ya CCM kagombee ubunge. Sifa unazo mkuu.
Ningekuelewa kama ungesema kagombee kule! Bila attachment na mafisadi wa CCM na lichama lao. Thanks kwa kuhisi naweza leta mabadiliko kule....
Chukua kadi ya CCM kagombee ubunge. Sifa unazo mkuu.
Huyu mzee ni marehemu kwa sasa,alifariki kitambo sana
Ningekuelewa kama ungesema kagombee kule! Bila attachment na mafisadi wa CCM na lichama lao. Thanks kwa kuhisi naweza leta mabadiliko kule....
Mpwa ile kesi ya Mtikila ya mgombea binafsi vp ilikwendaje vile maana nimesha poteza CD yake kabisa
Hahaha, Hawa ndio Wanasiasa wetu tulio nao Tanzania na na wengi wao ndio wanatupangia maisha yetuJosh Michael,
Li-CV la Major Komba ndilo hilo hapo.
Ukijumlisha Diploma tatu na Cerificate moja (2+2+2+1) na uzoefu nadhani yupo katika kiwango sahihi?
Mpwa watu wa Mbinga ni ovyo ovyo sana kama Mbunge wao Komba John. Unategemea jimbo litatoka vipi, jamaa huwa amelala bungeni kila siku? Kahawa na mazao yao ya biashara nani atawatetea? Kulingana na sensa ya 2002 mbinga ina wananchi 404,799...kati ya wote hawa John Komba ndiye bora zaidi na mwenye upeo!
Hilo linakushangaza nini mkuu? Hayo ndo mambo ya CCM. Kina Hadija Kopa, Asha Baraka na yule mzee wa maigizo nshasahau jina lake (nadhani mzee Jongo) wote ni vigogo wa CCM. Wajumbe wa NEC. CCM Tambarare
Diploma ya miaka miwili? Ujerumani , na alisoma kwa lugha gani?. Lugha tuu inachukuwa zaidi ya miezi sita
Hujui kuwa yeye ni msanii?
Atakuwa alisoma kisanii zaidi bila shaka. Atakuwa alipiga Dip ya mazoezi ya viungo.
Kweli Wanasiasa wetu wa Tanzania ni Balaa tupu.. hivi hakuna watu wengine walio kuwa kamili lakini ni chuo gani alisoma ujerumani kama sio usanii huo jamaniSi kweli aliisha wahi ingia darasani! Alete chuo tufatilie ...alikuwa anacheza ngoma na kuimba kwenye matamasha!
Si kweli aliisha wahi ingia darasani! Alete chuo tufatilie ...alikuwa anacheza ngoma na kuimba kwenye matamasha!
Na mengine ni diploma ya kuzomea wakati wa kampeni. Sasa Kitengo cha Bunge hakina Idara maalumu kwa ajili ya kucheki kama kweli watu wamesoma katika idara husika
Kama haikwisha si unajua katiba yetu Kimeo!
Hii mkuu alikuwa mwalimu wa UPE {Ualimu Pasipo Elimu} au nimeshindwa kuelewa hapo.
zamani walimu wa shule za msingi walikuwa ni grade IIIA na IIIB. nadhani IIIA ni form four leavers na IIIB ndiyo UPE(naomba mnisahihishe kama nimekosea)