Passport thefts at Dar airport. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Passport thefts at Dar airport.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dingswayo, Sep 18, 2009.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  I have just received this e mail from someone. Thought that I should post it here. Is there anyone with a similar story or experience?

  Friends,
  Please be careful when going to Dar-es-salaam.
  There is new scam just started to steal passports in the last few days. After Visa and Immigration when you go through to customs they ask to see you passport. When you hand them your passport they give it to a person near them who takes it and runs straight out of the building. This is planted so you cannot even run behind them and catch them.
  Suggest you hold your own passport and just show it to them, refuse to hand over your passport to customs- ... also make few photo copies too !

  Please forward this email to anyone who is likely to be going to DAR soon

   
 2. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  sasa wakishachukua hiyo passport what follows next,i mean is it of any value to anyone else?
   
 3. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,842
  Likes Received: 1,103
  Trophy Points: 280
  Hii habari siwezi kuiamini hata kidogo. hivi uwanja wetu hauna CCTV? Passport za nchi nyingi (except Kenya) ni 'digital' so mtu mwingine hawezi kutumia passport kwani data zipo logged ndani (encrypted).
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Bongo bana, watu wanatafuta kila njia ya kuanzisha ufisadi wa kiaina, ukiziba hapa wanaboma pale,

  Kazi kweli kweli kujenga Bongo.
   
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  They just change your picture na mtu anaanza mbele kwa kutumia viza zako. It happened to me.
   
 6. m

  mkulu Member

  #6
  Sep 19, 2009
  Joined: Mar 27, 2009
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mmmh .... this define the word WEIRD!! Thanx man
   
 7. M

  Magezi JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hii habari haijatulia, kama anayechukua passport in customs iweje wewe uondoke hapo na wakati umemkabidhi mtu unamuona yupo pale pale? mbona mimi tena majuzi nilisahau hand bag yangu, nikalazimika kuwaachia passport yangu pale immigration nikaenda kuchukua handbag yangu na nikakuta passport yangu bila shida?

  Labda mtoa mada alikuwa ana matatizo mengine pale airport. Au walikuwa wana mhisi kitu wakaenda kuichunguza pass yake.
   
 8. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,842
  Likes Received: 1,103
  Trophy Points: 280
  Passport za sasa huwezi ukafanya hivyo, picha haijabadikwa, ni scanned na kila kitu digital (yaani yale mambo ya height, colour, eyes colour, mwanya etc) yapo encrypted.
   
 9. M

  Mundu JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2009
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Hii habari haijatulia hii, hakuna ukweli wowote... Passport yaweza ibwa kariakoo, si Airport, tena immigration desk.

  Sinunui hii taarifa!!
   
 10. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hii haijatulia kabisa. Ina maana wale watu wa customs washirikiane na wahalifu kutorosha passport halafu wao wabaki hapo hapo wakiendea kuchapa kazi? Kwani customs wako interested na kitu gani, passport au mzigo ulioshuka nao (na thamani yake if possible)?
   
 11. Violet

  Violet Member

  #11
  Sep 19, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaijeria mbona wanafanya hiyo miaka mingi tuu. Ndio mana nchi nyingine kama USA wanachukua alama za vidole, kila ukiingia tena wanakwambia weka kidole chako. Hamna hata haja ya kubadili picha, hawa weupe wahatutofautishi sana. Wengi tuu wanatuma passport zao kwa ndugu zao , na wanazitumia kusafiria
   
 12. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Unatuharibia lugha ndugu!
   
 13. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  sidanganyiki!
   
 14. O

  Ogah JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  well siwezi ku-rule out kilichosemwa na mtoa mada............

  Kuna kitu niliona ni cha kijinga sana pale unapotoka.....siku moja nimeshapita immigration na customs........pale mlangoni nikakutana na kijana mmoja na eti akanitaka aone passport yangu...........
   
 15. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Naungana na wewe mkuu. Sidhani kama passport ni kitu valuable kiasi hicho. Suppose passport ni ya mzungu mbongo ataifanyia nini bana?
   
 16. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2009
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  LOOOOOOOOOOOH! Kasheshe!!!
  Tunaomba utusimulie mkasa wote kwa kirefu maana kila aliyejibu ameshindwa kuelewa mantiki na majaliwa ya tukio lako... tafadhali tuhabarishe kwa kina na hatua ulizochukua na maedneleo au matokeo ya tukio hilo yakoje. UWE MUWAZI ILI WATU WANUNUE USHAURI WAKO ili wafute maswali waliyokuuliza wewe na pia mawazo juu ya maafisa wa Uhamiaji walishughulikia pasi yako
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,904
  Trophy Points: 280
  Nyie bisheni tu hapo ukishalizwa ndio utaaminI.Wanaigeria wananunua passport za Tanzania $2500-3000..
  kama umepigika tuwasiliane nikupe mchongo
   
Loading...