'Gongagonga' afumwa akimlawiti mme wa mtu

Wananionea bure, mimi sijawakamata kwa nguvu wamepanua wenyewe. Mbona Popobawa wanamuacha anatesa nchi nzima? au kwa kuwa yeye ni mwanasiasa maarufu? je nimtaje?
 
Wananionea bure, mimi sijawakamata kwa nguvu wamepanua wenyewe. Mbona Popobawa wanamuacha anatesa nchi nzima? au kwa kuwa yeye ni mwanasiasa maarufu? je nimtaje?
Gongagonga! umeibukia JF?? We kiboko mwanaume. Usije ukamaliza watu hapa, maana hufai kabisa.
 
This is 2009 bado tunaamini tuu mambo ya kishirikina jamani , TUTAFIKA KWELI, imerudi mambo ya kinjeketile na vita ya majimaji.
 
dawa ya moto ni moto huyu gonga2 ataachiwa tu ni bora alazimishwe ataje wanawake wote aliowafanyia waitwe waume zao wamlipizie kisasi hamna haja ya kumpeleka mahakamani kwani hakuna ushahidi wa uchawi kisheria mtahangaika bure kwani hamkumbuki yale ya mheshimiwa aliyenyunyiza upupu Bungeni?Si walikosa ushahidi pamoja na kamera za kisasa kuwaona?Dawa naye apigwe fimbo(agongwe2)live bila uchawi ashike adabu lakini waangalie zinaweza zisisimame
 
Inamaana jamaa alimegwa mbele ya mke wake? Kwanini huyu mwendawazimu asingemmega tu dem wake?
kiongozi huyu jamaa kamaliza wanawake wote kijijini hapo so kaamua kubalisha flovor ndo anagonga wanaume sasa...very funny and sad ,na imagine gongagonga ndo angetua Dar ,du ingekuwa hatariiiiiiiiiiiiiiiii
 
Wananionea bure, mimi sijawakamata kwa nguvu wamepanua wenyewe. Mbona Popobawa wanamuacha anatesa nchi nzima? au kwa kuwa yeye ni mwanasiasa maarufu? je nimtaje?
ohoooooooooooo!gongagonga ndani ya jf
 
Back
Top Bottom