Recent content by Vica

  1. Vica

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kiongozi wa CCM Igunga yachomwa Moto; CUF waungana na CCM,Chadema waruka

    Waungwana tujadili...jana Mzindakaya kasaini Mkataba Wa Mchuchuma kuhusu kuzalisha MW 600 za umeme..jambo la kusikitisha nikwamba alishauriwa na mwanasheria mkuu wa serikali asubirii kable hajasaini waweke comments zao..lakini kwa simu mzee wa watu kaanguka...kisa keshapewa dilii kuwa watachukua...
  2. Vica

    JamiiForums Tanzania Upinzani unachukua Nchi Zambia

    Tujadili madudud aliyoyafanya Mzindakaya Jana...kasain na wachina mktabat wa 4.16 tirion kabla ya kupata ushauri wa mwansheria mkuu wa serikali ,tunakwenda wapi?
  3. Vica

    JamiiForums Tanzania ATCL kufufuka kisasa zaidi, kwa nguvu zaidi -- na kutawala tena soko!

    Jamani breaking news!! ulemradi ulosainiwa jana kati ya mzindakaya na wachina kwa ajili ya kuzalisha umeme megawatss 600mw umegundulika kuwa hukupitiwa na wmwanasheria mkuu,aliwapigia simu jana kuwa wasisaini mpaka aweke comments zao mzinda akataa anataka kuturudisha kule kule kwa SAAFI..Mpeniz...
  4. Vica

    JamiiForums Tanzania Former IMF boss released from house arrest

    geat news , jamani vipi habari ya ZITO imekuwaje Bungeni!!!
  5. Vica

    JamiiForums Tanzania Tido Mhando nae Ang'oa

    Kilichomuondoa TBC1 ni kuendelea kuonyesha vipindi vya kampeni za vyama vya upinzani ili khali CCM walishajitoa....
  6. Vica

    JamiiForums Tanzania Kifo cha kampuni ya mabasi SCANDINAVIA EXPRESS

    jamaa alikuwa na madeni makubwa arafu garufu ya ufisadi pia ilimponza kwan...
  7. Vica

    JamiiForums Tanzania John Shibuda: Mbowe ni dikteta

    Huyu shibuda vipi? Si aliingia kwa ajili ya ubunge tu,sasa kapata anataka nini..akae kimya..chadema walimkubalia tu kwa vile walitaka kupata support tu ya wananchi na kujitambulisha zaidi kanda ya ziwa na analijua hilo sasa anataka nini? Tunajua alitaka ubunge lakini sio damu ya...
  8. Vica

    JamiiForums Tanzania Chadema inapaswa kukarabatiwa sasa...

    huyu ZITO (MWANAMAGEUKO) asitake kutuchanganya tushamjua anataka kuvuruga chama..njia anayotumia sio nzuri...
  9. Vica

    JamiiForums Tanzania Kova/Jeshi la polisi laonya wanaoandaa Maandamano

    kwani kuandamana tatizo? sioni kama ni vibaya as long as watu wameomba ruhusa,sasa mtu anapotkea kuwatisha watu inaonekana kuna jambo linafichwa hapo...duh..
  10. Vica

    JamiiForums Tanzania GE2010 Dr slaa anataka hiki............

    wakuu nashinda kufanya 'attachment' nina ushahidi wa jinsi CCM walivyopanga mipango ya kuchakachua kura huko lakairo hotel mwanzoni.mtu anielekeze jinsi yaku attach,tayari nimesave kwenye my documents
  11. Vica

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana wafanyakazi mliokataa kutukanwa na wapenda maendeleo wote

    Mnachosema wenzangu nawaunga mkono na mguu,huyu mkwere amebanwa kila mahali ila nawashukuru kwanza Mawakala wote wa Chadema kwa uaminifu wao waliouonyesha ktk kusimamia zoezi zima kwani lilikuwa nia hatari,hasa ukiangalia kipato kidogo walichokuwa wakilipwa kama posho(nimeangalia posho...
  12. Vica

    JamiiForums Tanzania GE2010 Chadema wafanye nini sasa baada ya kuibiwa haki?

    jamani vipi matokea ya Segerea bado?
  13. Vica

    JamiiForums Tanzania GE2010 Mpendazoe aibukia Kinondoni

    Naombeni matoke ya kinondoni na mtera
  14. Vica

    JamiiForums Tanzania Simba bingwa Kagame Cup.....!!!

    jamani vipi matokeo?
  15. Vica

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa ...

    Mercedes -Benz Inauzwa: Aina ya Gari: Mercedes -Benz (Germany) Mode: E:200 Year of Manufacture:1992 Price: 10Million. Contact Address: 0714 526 888
Back
Top Bottom