John Shibuda: Mbowe ni dikteta

Huyu shibuda vipi? Si aliingia kwa ajili ya ubunge tu,sasa kapata anataka nini..akae kimya..chadema walimkubalia tu kwa vile walitaka kupata support tu ya wananchi na kujitambulisha zaidi kanda ya ziwa na analijua hilo sasa anataka nini? Tunajua alitaka ubunge lakini sio damu ya upinzani...asijisahau...
 
How can a thug have brought a party to such a level of development?
Chadema has experienced such a tremendous growth under Mbowe's leadership,Its crystal clear; How do u measure the performance of a leader? By listening to a few people who maliciously appear to be dissatisfied with his leadershp or by seeing the results of hs presence in the office?
As a leader there times its inevitable to be tough and dictatorial to make things happen!!
If Mbowe is a thug,definetly we need 100 more thugs like him for the Party and the nation to see light of day!!!

Hapo umenena ndugu Edson, and I agree with you, Mbowe is definitely a leader and anyone who dare call him a thug, doesn't wish Chadema well; and I am sure such a person has nothing to do with the welfare of the party or Tanzanians, but rather, his greed to take the place of Mobwe, of which he is not anything close to Mbowe
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya Shibuda na Masumbuko Lamwai? Tell me please!
 
nnakutakieni kila la heri ukiona hata mwanakijiji mtetezi wenu kaamua kukaa kimya ujue sasa mambo ni mazito

Chaha wangwe ni msaliti, Zitto ni msaliti, na sasa shibuda ni msaliti

chadema imekuwa kama giningi asemacho bi kirembwe hakipingwi na wala hasutwi

leo akisema hii nyeupe mseme ndio na akija kesho akakuulizeni rangi gani mkamjibu ni nyeupe kama alivyosema na akasema nyny wajinga hamuoni hii ni nyeusi museme ndio bi kirembwe tumekosea ni nyeusi

kuna tofauti gani ya mtoko wa dr slaa na Shibuda kwenda Chadema ?

hawa wote si walikua CCM na wote walitoka baada ya mchakato wa wagombea kuona hawajaridhika nao wakahama

au mmesahau? kwa hio na siku slaa akikosoa na yeye atakuwa msaliti

mwisho nnasema ya ngoswe ......
 
Kwanza gazeti lenyewe ni la fisadi na cdm
ndio mbaya wao mkubwa mambo ya cdm
lazima wayachakachue ili labda wtz tuwachu
kie makamanda hatudanganyiki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kumbe shida ni ruzuku na sio kuleta mapadiliko ?? nimekupata sasa

CCM ndo inaongoza kuwa na wabunge wa ruzuku. Kwenye bunge lililopita ukiondoa Mwakyembe, Six, Selelii, Shellukindo(Mr & Mrs) na wachache wengine niliowasahau, waliobaki walikuwepo kukiongezea chama Ruzuku na sifa mojawapo ya mbunge-ruzuku ni kuanzisha migogoro kwenye chama chake!
 
End of the day... watanzania ndio mjue wote ni NJAAAAAAAAAAAAAAAA tuu.. MABADILIKO kutokea wapi.. Freeman Ruzuku Mbowe, Dr. Jakaya Chakachua Kikwete, Ibrahim vapour Lipumba, Agustino Usalama wa Taifa Mrema... Dr. Wibroad (Nilipeni 12m ndio ntagombea Urais..na pendeleeni watu wangu wa2-wa3)-SLAA.. Thats Tanzania.. Ruzuku noma ati..
 
Tofautisha wabunge wa kazi na wabunge wa kuongezea ruzuku

mabadiliko yanaletwa sambamba na upatikanaji wa ruzuku!

Sasa kama hayo ndio mabadiliko yakutaka kuniambia ni baadhi tu ya wabunge wanaofanya kazi. Wengine haujali kama ni wezi nk. ilimradi wanaleta ruzuku basi umepotea kwa sababu hizo ruzuku hazitakua na maana kama hatupati viongozi wazuri wenye nia ya kujenga chama na kusaidia wananchi..
 
teh teh sasa ameshakua adui....ndio unakumbuka sasa hivi
Ukikumbushwa jana yako ni uadui , yeye aliita wapinzani wote genge la wahuni leo
Kachepukia kwa wahuni na amewakuta wamejizatiti kweli wanampa kubwa hiyo kumuita mlafi ni mwanzo tu akiendelea na unafiki ndiyo atawajua uhuni wao
 
Yaani Shibuda kujiunga juzi tu anataka nafasi ya juu? Ameanza na kulalamika udikteta?
Mbowe kaza buti wengi ni maopportunists, na watazidi kusema yaliyosemwa as if ni kweli. Wewe na waanzilishi wenzako mnajua CBM imetoka wapi. Kama siyo uongozi wako wasingejiunga na kupata ubunge.

Usisahau wengine ni mamluki wa CCM na MAFISADI, sina shaka hawa wote unawafahamu. Deal nao perpendicularly hawa sio wa kuwaacha. Ningeshauri kila anayejiunga lazima akae miaka mitano kabla ya kupewa cheo. Nadhani sasa idadi inatosha

Poleni kazi ngumu mmevamiwa safari hii, ruzuku mtaipata kwa kelele nyingi
 
mtu yoyote neutral au mwenye kupenda upinzani wa kweli lazima atakubali kwamba mbowe is the worst christmas presenta ya any opposition in the world

huwezi kuwa na hooligan halafu ukampa power ya kuongoza... and if i amy be as honest as possible, Mbowe is CHADENA's weakest link
My friend, you need a hooligan (not a useless docile homo sapien) to turn around the fortunes of this otherwise blessed nation!
Cant you guys see that???
We need some crazy smartie. Bring on Mbowe!!
 
Ukikumbushwa jana yako ni uadui , yeye aliita wapinzani wote genge la wahuni leo
Kachepukia kwa wahuni na amewakuta wamejizatiti kweli wanampa kubwa hiyo kumuita mlafi ni mwanzo tu akiendelea na unafiki ndiyo atawajua uhuni wao

Have you ever considered may be its your chairman who has a problem ?
Here is something small to chew for the day:

nnakutakieni kila la heri ukiona hata mwanakijiji mtetezi wenu kaamua kukaa kimya ujue sasa mambo ni mazito

Chaha wangwe ni msaliti, Zitto ni msaliti, na sasa shibuda ni msaliti

chadema imekuwa kama giningi asemacho bi kirembwe hakipingwi na wala hasutwi

leo akisema hii nyeupe mseme ndio na akija kesho akakuulizeni rangi gani mkamjibu ni nyeupe kama alivyosema na akasema nyny wajinga hamuoni hii ni nyeusi museme ndio bi kirembwe tumekosea ni nyeusi

kuna tofauti gani ya mtoko wa dr slaa na Shibuda kwenda Chadema ?

hawa wote si walikua CCM na wote walitoka baada ya mchakato wa wagombea kuona hawajaridhika nao wakahama

au mmesahau? kwa hio na siku slaa akikosoa na yeye atakuwa msaliti

mwisho nnasema ya ngoswe ......
 
Nadhani sasa wengi mtaanza kuyaamini niliyokuwa nayasema kwa miaka mitatu na zaidi kwamba Mbowe sio kiongozi bora.

Mbowe ameshindwa kuwaunga wana CDM kuwa kitu kimoja, Mbowe anapenda kila cheo apewe yeye, na ni Mbowe ambaye anayumbisha mapambano haya ya maendeleo zaidi ya wezi CCM. CDM imepata nafasi muhimu sana kubadilisha maendeleo ya Tanzania, maendeleo ambayo yamekuwa yakidorora tangu mwaka 1961 Desemba 9. Kwa ufahamu mdogo wa siasa na elimu fupi ya Mbowe leo hii CDM wanapoteza nafasi ya upendeleo ambayo Watanzania tumewapa. Inasikitisha sana, kwamba badala ya CDM kuwa chama kimoja chenye muungano nadhifu kinaanza kupalaganyika kwa lawama ya mtu mmoja.

Siasa za wivu, kijicho na kuoneana gere ndio zinaifikisha CDM hapa ilipo. Wengine tuliandika hapa kwamba ukuwaji wa CDM ni wenye kasi nzuri na kwamba uongozi wa Mbowe hauwezi kusustain kasi hiyo, hivyo wengine tukasema Mbowe ni wakati maalumu wa kuachia ngazi na kumpa Daktari wa ukweli nyadhifa hiyo, kwani ameonekana ni mwenye maono na uweleo wa uongozi bora.

CDM imeleta vijana wengi ambao mpaka sasa napata hofu kama kweli watatupeleka kwenye njia nyoofu. Siasa ya kutaka kuwa juu usiku mmoja ni siasa dhaifu.

Kuishinda CCM sio lelemama. Ni muda muafaka viongozi wenye uweleo na uongozi wasimame kidete kukirudisha chama chenye potential katika njia bora.
Na kwakina Shibuda, Zitto na wenzio kupigizana kelele kwenye media sio solution, lazima muhakikishe tofauti zetu zinatatuliwa ndani ya chama na sio vingenevyo
 
Gazeti la Mtanzania 13 December 2010 limemnukuu Shibuda akilalamika kuwa mbowe ni Dikteta na anawaburuza na anajenga makundi badala ya umoja ndani ya chama

"hali ilikwishachafuka, Mbowe anaendesha vikao kwa ubabe, kuhujumiana, kubomoana na kujenga makundi... ule ulikuwa mkutano wa uchaguzi wa wajumbe watano wa kamati kuu, lakini ukatanguliwa na hicho kikao cha kuvunjiana heshima, ilibidi nitoe jina langu" alisema Shibuda.

Shibuda kama ulikuwa hujui huyo ndio Mbowe.

Shibuda ni CCM damdam.Ametumwa kufanya kazi moja tu,kuibomoa Chadema.Time will tell,lakini huo ndio ukweli.
 
Have you ever considered may be its your chairman who has a problem ?
Here is something small to chew for the day:
Yote kwa yote hata mungu alipowaongoza wanadamu hawakuridhika wakaomba wateuliwe mfalme miongoni mwao hivyo ckulazimishi ukiri mbowe ni kiongozi wa kupigiwa mfano ila shibuda kimemtoa nini huko alipokuwa na kwa nini hakwenda kwenye democrasia ya kweli tlp udp cuf au nccr kama c aliangalia chama cha upinzani kilicho makini na chenye nguvu sasa anafikiri/anapata hayo yalifikiwa kwa uongozi legelege
 
Hahahaha shibuda amebounce! Alidhani ni rahisi kuvunja cdm!!!! Alie tu na hivyi alivyo mlafi wa nyama!!!!!!
 
nnakutakieni kila la heri ukiona hata mwanakijiji mtetezi wenu kaamua kukaa kimya ujue sasa mambo ni mazito

Chaha wangwe ni msaliti, Zitto ni msaliti, na sasa shibuda ni msaliti

chadema imekuwa kama giningi asemacho bi kirembwe hakipingwi na wala hasutwi

leo akisema hii nyeupe mseme ndio na akija kesho akakuulizeni rangi gani mkamjibu ni nyeupe kama alivyosema na akasema nyny wajinga hamuoni hii ni nyeusi museme ndio bi kirembwe tumekosea ni nyeusi

kuna tofauti gani ya mtoko wa dr slaa na Shibuda kwenda Chadema ?

hawa wote si walikua CCM na wote walitoka baada ya mchakato wa wagombea kuona hawajaridhika nao wakahama

au mmesahau? kwa hio na siku slaa akikosoa na yeye atakuwa msaliti

mwisho nnasema ya ngoswe ......
Ndio maana wengine sie hatujajiunga na chama hichi kwasababu hizi za undio mzee. Kulazimishana mitazamo kunapelekea kufanya maamuzi mengine yasiyo na msingi kabisa.

Zidumu fikra za mwenyekiti mbowe!!! sie wengine tunakaa mbali tukijitazamia tu.
 
Back
Top Bottom