Asanteni sana wafanyakazi mliokataa kutukanwa na wapenda maendeleo wote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asanteni sana wafanyakazi mliokataa kutukanwa na wapenda maendeleo wote

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Johnsecond, Nov 1, 2010.

 1. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nadhani matusi ya CCM kwa wafanyakazi sasa wameiona joto ya jiwe wasubiri sasa wakulima ambao nao kwenye kilimo kwanza najua wakulima watatukanwa na ndo mazishi ya hiki chama cha kidikteta.
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wasilalamike kwa kuwa mkwere alisema hazihitaji kura zao
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hatuwezi kuitwa MBAYUWAYU BANA...Asiyefunzwa na MAMAYAKE hufunzwa na ULIMWENGU...Ulimwengu umemfunza...
  Tumemfuta ajira RASMI JANA!
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  tuone nani ni mbayuwayu sasa maana ccm wamezoea kuona kwamba bila wao tanzania hii haiendi mbele sasa mwaka huu imekula kwao i mean wameingia choo cha kike
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  safi sana vitendo tu ndo vinaonekana hapa
   
 6. T

  The King JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama Kiongozi/chama ukipanda kiburi cha madaraka basi utavuna kiburi cha wapiga kura :peace::peace::peace:
   
 7. b

  bojuka Senior Member

  #7
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alijifanya anabip na sisi tumempigia
  huo ni mwanzo tu na mwisho wake unakaribia .
   
 8. Vica

  Vica Member

  #8
  Nov 3, 2010
  Joined: May 27, 2008
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mnachosema wenzangu nawaunga mkono na mguu,huyu mkwere amebanwa kila mahali ila nawashukuru kwanza Mawakala wote wa Chadema kwa uaminifu wao waliouonyesha ktk kusimamia zoezi zima kwani lilikuwa nia hatari,hasa ukiangalia kipato kidogo walichokuwa wakilipwa kama posho(nimeangalia posho walizolipwa mawakala wetu wa Mbeya mjini, maskini Mungu awasaidie waendelee na moyo huo)shukrani za dhati zimwendee yule wakala wa Musoma Mjini aliyemkamatisha Mwekahazina wa CCM wa Mkoa aliyetaka kumuhonga laki moja,,nawaomba viongozi wa Chadema mfuatilie hiyo kesi tujue nini hatima yake.Ningeomba hawa mawakala kama sio wanachama basi wapewe kadi za chama cha Chadema pia wawekwe kwenye kumbukumbu za historia za chama hasa wale wa majimbo/kata na vitongoji amabapo Chadema tumeongoza kwa kura za Urai,Ubunge na Udiwani pia.
  Changamoto inayokikabili chama kwa sasa ;
  (i) Mikakati ya Kujiimarisha nchi nzima hasa vijijini ianze mara moja,kwani kikwazo kikubwa nadhani ilikuwa ni feza, kwa sasa tatizo hilo litapungua kutokana na ruzuku kuongezeka.
  (II) kuanisha mbinu zote za chama tawala za kuiba ushindi na kuanza kuzifanyia kazi mapema,mimi nimeona mbili(moja ni ile hali ya kudhoofisha mshindani waomkuu kwenye dakika za mwisho kabla ya uchaguz (siku mbili)i,hii mbinu wamekuwa wakiitumia siku nyingi na imewasaidia kwa kuibua fitina,na habari za uchonganishi an uchochezigi,mwaka huu wametumia udini na ukabila na kwa kiasi fulani umewasaidia ktika kura za urais.nyingine ni ile ya kutokubali kuachia baadhi ya majimbo kwa sababu ya usalama either wa rais (mfano Kibaha ilikuwa lazima Mkwere achakachue na Segerea kwani ingeonekana kila anaetoka CCM anashinda ubunge.
  (III)Kama mmemsikia Kampeni meneja wa chama tawala jana, pamoja na kukiri maji shingoni,lakini akasema wanaanza mara moja kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi ujao, maana yake nini,manayake ni kwamba wataanza kudhoofisha vyama vyenye nguvu hasa chadema,watawatumia watu wa ndani ya CHADEMA TENA YALE MAJINA makubwa kwa nia ya kukimaliza nguvu kabla ya uchaguzi.ili nimeliweka mwisho lain indo la kwanza kwa umuhimu.. mengine tutaendelea kushaurina kama tuakaribishwa kwenye vikao..
  (IV) mwisho sas tuanze na kujihusisha na shughuli za kijamii kama michezo n.k kusudi wananch watuzoee na kutupenda mapema.

   
 9. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Sawa sawa! Ila pia CCM nao wanaona mikakati hii humu. Sijui mngekuwa mnaacha kuweka hadharani mbinu hizi nzuri. Adui mnyime taarifa ya silaha zako
   
 10. muya

  muya Member

  #10
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wameiona joto ya jiwe kwenye nini maana rais anaongoza kwa kishindo au unababaika na 40% ya ubunge, alikuwa anaongea ZITO Kabwe na katiwa kapuni unategemea nini kwa maskini walioingia sasa??? nikitazama mbele naona kwa hawa vihiyo wa upinzani efficience<30%
   
Loading...