Recent content by usiende kariakoo

  1. U

    JamiiForums Tanzania Tuacheni utani Jamani, hali ya uchumi sasa hivi ni mbaya sana

    Ukiona mtu ana coment kama wewe ujue anakula ugali wa shikamoo!! Tulio na maduka. Tunajua hali ilivyo
  2. U

    JamiiForums Tanzania chimbo la nguo za dukani

    Njoo usiende kariakoo ni chimbo no 1 kwa sasa hapa mjini unaweza cheki page yetu uone bei
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kati ya maji Uhai na Kilimanjaro?

    Rwenzor ndo yapi hayo mkuu? Yanapatikana wap?
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kati ya maji Uhai na Kilimanjaro?

    Me pia huwa najiuliza sana pamoja na Kilimanjaro kuwa bei kubwa ila mikoani maji ya dar hayatoboi
  5. U

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Funcargo sokoni

    No d,c au b?
  6. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nokia yazindua simu matata

    Unaendelea kuwa ovyo ovyo[emoji23][emoji23][emoji23]
  7. U

    JamiiForums Tanzania Ahadi za mkuu

    Iv wapendwa kuna ahadi yoyote aliyotoa Bwana mkubwa kwenye kampen na ameitekeleza?? Af me naona kama ye anaona 2020 ni mbali wakat kesho tu
  8. U

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio nyimbo mbovu ila zinabebwa na media

    Aje ya alikiba pia inabebwa na media
  9. U

    JamiiForums Tanzania Usumbufu wa Vodacom

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
  10. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa kuhack simu

    Ukishahack utapata faida gan zaid ya presure?
  11. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal yaondolewa rasmi kwenye mbio za ubingwa EPL

    Kwani umeambiwa ilikuwa kwenye mbio? Arsenal hatujawah kuwania ubingwa ndg huwa tunawania nafasi ya nne acha kutusingizia
  12. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyimbo gani nzuri za kusikiliza ukiwa na maumivu ya kuachwa?

    Sikiliza ile ngoma ya komba Tumeipenda wenyewe ni bonge la ngoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. U

    JamiiForums Tanzania Karibu dukani kwetu usiende kariakoo

    Karibu bos na wewe tukuhudumie
  14. U

    JamiiForums Tanzania Karibu dukani kwetu usiende kariakoo

    Usiende kariakoo ni duka linalopatikana Sinza Madukani opposite na AAR HOSPITAL Tunauza nguo,viatu(vya ofisini +raba) vya kike na kiume kwa bei nafuu kuliko kariakoo Tunauza kwa jumla na rejareja! Kwanini ukahangaike kariakoo kupambana na machinga na kuibiwa sometime? Njoo Sinza uhudumiwe kwa...
Back
Top Bottom