jimmy jimble
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 216
- 216
nataka kufungua duka la nguo za kiume zile za dukani za kinyamwezi za mabishoo na mabrazameni.naombeni chimbo ambalo naweza kuagiza mzigo kwa bei nafuu na ikiwezekana mchanganuo wa biashara hii.mimi nipo dodoma.asanteni wakuu