Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Kiukweli vodacom nimewachoka kwa meseji zao za kunidai ,yani nlikopa 2000 nipige tafu tangia Mwezi uliopita ,lakini tangia hapo ni kunitumia meseji kukumbusha hela yao ,jamani voda kama mnanisikia acheni usumbufu elfu 2 kitu gani bhana ntawalipa sio daily najua imeingia msg ya M-pesa nikiangalia nakuta meseji ya kukumbushwa deni,mnaboa ,watu tunahonga Mamilioni sembuse hiyo buku 2 mnayonidai mkiendelea na usumbufu navunja line ,kama kulipa ntawalipa tu nyie hamuoni hali ilivyo ngumu usawa huu wa