Karibu dukani kwetu usiende kariakoo

Dec 29, 2016
14
22
Usiende kariakoo ni duka linalopatikana Sinza Madukani opposite na AAR HOSPITAL

Tunauza nguo,viatu(vya ofisini +raba) vya kike na kiume kwa bei nafuu kuliko kariakoo

Tunauza kwa jumla na rejareja!

Kwanini ukahangaike kariakoo kupambana na machinga na kuibiwa sometime? Njoo Sinza uhudumiwe kwa uhuru kwa bei ile ile ya kariakoo au cheap zaid yake

Duka letu limeandikwa USIENDE KARIAKOO

wengi wamekuwa wakiona bei tunazopost instagram kwenye acc yetu ya @usiendekariakoo ba kudhan ni janjajanja au wizi but tunathibitisha ni halisi kwa sababu utaratibu wetu ni mteja aje dukani kununua na sio mambo ya kutuma pesa sijui uletewe NO! njoo dukan mwenyewe

Mawasiliano 0762299111

Ntakuwa napost kwenye huu uzi baadhi ya vitu tulivyonavyo

Mf kwa sasa tuna ofa ya 50% off kwa adidas za kike na kiume,badala ya kuuziwa 50000 unauziwa kwa 25000 pekee pale dukani kwetu

Kwa vitu zaid tunavyouza tutembelee dukan au angalia instagram @usiendekariakoo
IMG_20170202_173406_247.jpg
IMG_20170202_173338_649.jpg
Screenshot_2017-02-02-17-12-29.png
Screenshot_2017-02-02-16-08-38.png
IMG-20170202-WA0024.jpg
IMG_20170202_142515_690.jpg
IMG_20170202_142616_778.jpg
IMG_20170202_142411_111.jpg
 
Mhmm nausema kweli, maana hayo madukayenu huko sinza na kinondoni mna mibei utathani tupo uk,
Suruali ya kawaidatu k, koo elf 25 au 30 huko ni 60 mbaka 70.
Bora wewe kama umegundua hilo.
 
Back
Top Bottom