Hizi ndio nyimbo mbovu ila zinabebwa na media

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,463
Habari wakuu,sio jambo jema kusema msanii fulani anabebwa,kwa kuwa msanii hawezi kutoa nyimbo zote mbovu bali kuna baadhi tu ya nyimbo mbovu atatoa.hizi ndio nyimbo mbovu za bongofleva ila zinabebwa na media(radio na tv).

1. Kijuso ya Rayvan na queen dalin
2. Waya ya Joh makini
3. Yono ya Dully sykes
4. Hela ya Madee
5. AY yupo a dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
6. CHEGE yupo na dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya

Hizo ndio zangu mbaya ila redioni zinapigwa sana ,ongezea na wewe za kwako

NB:kuupenda wimbo tumetofautiana,mimi mala ya kwanza nikisikia wimbo,basi hapohapo jibu linakuja,nisipoupenda hapo basi sitaupenda tena,ilas wengie jinsi wimbo unavopigwapigwa redioni anajikuta anaupenda(unakaririshwa hadi unakariri),
 
Back
Top Bottom