Kumbuka yule ni mtoto wa mtu, km umemshindwa kwnn usimwache wakati wanawake wako wengi? Tena ww unayepiga wanawake una bahati hujamwoa mwanangu au dada yangu, maana ukimpiga jioni, mm asubuhi niko kwako nakushushia kipigo cha maana hadi utakapoelewa kua unayempiga naye ana wazazi
Kuna dhana potofu kuwa tunda la mti wa kati ni uchi wa mwanamke, Adamu alizuiliwa kula matunda yote icpokua la mti wa kati na kama tunda la mti kati ni hilo je matunda mengine aliyoruhusiwa ni yapi? Pili, kabla Adam na Hawa hawajala tunda, Mungu alishawaambia wazae waijaze dunia ss dunia...
Sio kweli kwamba Zanzibar kupata uwakilishi CAF ni kujitenga kupitia michezo, nchi ya Wales ipo kwenye muungano wa Great Britain pamoja na Scotland lkn zote zina uwakilishi FIFA na bado hazijajitenga, visiwa kama Samoa ni sehemu ya Marekani lkn kimichezo vinajitegemea, so katafute hoja nyingine...
Ss km hajakamatwa Osama mwenyewe yuko wapi, marekani walitoa wapi ujasiri wa kutangaza km wacngekua wamemkamata na pia kwnn baada ya kuuawa kwake Al Qaeda imedhoofu na hatuckii tena wakifanya mashambulizi km kipindi kile?
Na ww hujafikiria kabisa, hili ni soko huria, anayeweza anaenda acyeweza asiende. Feza haijamlazimisha mtu kusoma pale, af nashangaa wanaosomesha watoto pale hawalalamiki, lakini ww kapuku mwenzetu unalalamika. Ss km ni hivyo mbona husemi wadhibiti bei za vyakula kwenye hoteli kubwa, bia ya 2000...
Joh abebwe since 2005 inaingia akilini kweli, coz joh namfahamu since akiwa chuga na river camp yake kahustle mpaka anatoka, mbona kabla hajawa superstar mlikua hamsemi km anabebwa? Na je hao wanaombeba wana uhusiano gani na joh mpaka wambebe, je kwnn wasiwabebe wasanii wengine? Mwanzoni mlianza...
Wametuacha mbali sana kidemokrasia, Rais wa America miaka ya nyuma Richard Nixon km cjakosea alishawahi kutolewa madarakani baada ya kashfa ya kutumia CIA kukichunguza chama cha democratic ambao walikua wapinzani wake. Bongo hiyo haipo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.