Mii gereza siyo mbwembwe, ni lugha kama kiswahili au kiarabu, kila lugha ina watu wake, huwezi kuhubiri kwa lugha ya kiswahili kule china, wala germany lazima utumie lugha wanayoielewa, ndiyo maana kuna wakarimaniKwa mtizamo wangu naona lugha inayooleweka na waumini ndiyo inaweza kumsaidia muumini kutambua na kufuatilia mahubiri. Kwetu sisi ni Kiswahili, kiingereza ni mbwembwe tu.
Na kama wote ni waswahili kwanini utumie lugha ya kigereza...?Pale mhubiri anapotumia lugha ya kiingereza inabidi kuwe na mkalimani. Mara nyingi wakalimani wanapotosha maana halisi ya maneno yaliyosemwa kwa lugha ya kigeni.
Wee jamaa kilaza kweli; kiingereza kiswahili; kichaga nk ni njia za kufkishia ujumbe . Pia upo nyuma kweli hujakuta na mtu hajui hicho kiingereza chako lakini mambo yake supa?Naangalia Citizen Tv, Church service at Nairobi chapel Ngong Raod. Wachungaji -Wahubiri wanabomoka kiingereza, fluent one.
Je wachungaji wetu hapa TZ wanaweza kumudu kuhubiri kwa kiingereza kama wenzetu hawa?
Je luga wanayotumia haieweki?na he ni kweli watanzania wote wanaskia kingereza ,Kenya mfumo wa luga ya wakenya uko vp?make hata mtoto mdogo kabisa anaongea kiingereza na je kwa watz iko vp,jifunze kutofautisha usiwe funza.Naangalia Citizen Tv, Church service at Nairobi chapel Ngong Raod. Wachungaji -Wahubiri wanabomoka kiingereza, fluent one.
Je wachungaji wetu hapa TZ wanaweza kumudu kuhubiri kwa kiingereza kama wenzetu hawa?