Juma wa Juma
Senior Member
- Jan 13, 2017
- 150
- 221
Lissu acha kulialia Pambana na Wataalam Wenzako kama unafanyiwa hujuma na wewe fanya hujuma sio unatuma sms kwenye mitandao kutafuta Public Symphathy.
Lissu anajua na dunia inajua katika kila chaguzi FIGISU FIGISU hazikosi. Namkumbusha tu kidogo Tundu Lissu wakati wa Usaliti wa Yuda Kabwe alitoka na kauli nyingi ambazo ni za hujuma na kipindi kile CHADEMA waliokuwa wanaelekea kwenye uchaguzi wa Ndani wa chama chao.
Halafu mwaka 2015 Lissu alishiriki kumhujumu Slaa baada ya LOWASSA kuhamia CDM na kuwa Mgombea Urais, Tundu Lissu huyu huyu alishiriki kumhujumu Rais wa Mioyoni mwa Wadanganyika.........In short TL atulie na yeye ana nafasi ya kuwafanyia hujuma wagombea wenzake sababu ndio nature ya chaguzi inayofanywa ili kupunguza mchuano.
Let the game begin