Recent content by Ukback255

  1. Ukback255

    Kazi ya kufundisha physics and Mathematics

    Kwani walimu wa kawaida hawaondoki kwenda shule zingine ? Au kwenda kusoma hiyo ni kawaida kama kazi unayo mpe mtu afanye kwani yupo na passion ya kufundisha
  2. Ukback255

    Kazi ya kufundisha physics and Mathematics

    Analipwa 280000 anataka angalau mshahara wa juu kiasi
  3. Ukback255

    Kazi ya kufundisha physics and Mathematics

    Wakuu kuna jamaa yangu yupo mtaani baada ya kufaulu vizuri form four dv 1 na kupata division 2 ya PGM then kumaliza chuo katika fani ya computer science lakini kulingana na changamoto ya Ajira yupo tu kajishikiza kwenye shule moja ya sekondari ya serikali anapiga temporary job. Na kwa vile...
  4. Ukback255

    Nafasi za tenda mwanza

    Kampuni ya Genius notes board advertise inatangaza tenda za lufanya kazi zifuatazo mtu mwenye stetionary anaitajika jijini mwanza kwa ajiri ya kusaidia katiaka shuguli za ku print ku photocopy na graphic design photocopying graphic design printing and typing ambaye yupo jijini mwanza...
  5. Ukback255

    Natafuta mshirika wa biashara

    4 milion hivyo ni two mlion kwa kila mtu
  6. Ukback255

    Natafuta mshirika wa biashara

    Niko na kampuni mpya kabisa nchini inayotarajiwa kufanya kazi ambayo haijawai kufanyika nchini katika sector ya advertising.... naitaji mshirika wa biashara nimpe share ya 50% maana naona kazi zitakuwa nyingi kuifanya iwe tanzania nzima .... mwenye uwezo wa kushare mawazo na kujua zaidi...
  7. Ukback255

    Magufuli ni tumaini jipya la ujasiri!

    Haaaah kutumbua mafisadi gani zaidi ya kula Rambi Rambi
  8. Ukback255

    Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Mafisadi wakinishinda msiniite Rais
  9. Ukback255

    Zitto: Malipo ni hapa hapa duniani, Viongozi wastaafu wapo wapi wamuonye rais Magufuli?

    Magufuli alipofikia anatakiwa watu who don't care wanaoweza kuingia barabarani kudai haki
  10. Ukback255

    Hela zote hizi Za kubana matumizi zimekwenda wapi

    TRA wameamua kumshugulikia wacha tu wamshugulikie wapeleke watoto shule
  11. Ukback255

    Rais Magufuli akumbushwe imebakia Miaka mitatu na miezi kadhaa tuchague Rais mwingine.

    Uchaguzi ujao hachomoki hata ikiwezekana nguvu ya umma itumike
  12. Ukback255

    Nawashangaa Magufuli na Mwakyembe. Anzeni na kesi hizi kwenye mahakama ya mafisadi

    Daaaah mkuu unataka marais wastaafu na mawazi wakuu wastaafu na rais aliyeko madarakani waende na maji Atakayepona ccm labda ni polepole pekee
  13. Ukback255

    Wakuu mwonekano wa Daz baba

    Daaaah yaani ni hatari sana
  14. Ukback255

    Wakuu mwonekano wa Daz baba

    Yaani ni hatari madawa ya kulevya yanatisha sana Kiukweli Serikali isipochukua hatua tutapoteza nguvu Kazi ya vijana yaani ni majonzi makubwa . Kama mnakumbuka Daz Baba alivyowika sana wakiwa ndio waanzilishi wa bongo freva kiukweli ni masikitiko makubwa .
Back
Top Bottom