Ukback255
Senior Member
- Aug 31, 2016
- 174
- 278
Niko na kampuni mpya kabisa nchini inayotarajiwa kufanya kazi ambayo haijawai kufanyika nchini katika sector ya advertising....
naitaji mshirika wa biashara nimpe share ya 50% maana naona kazi zitakuwa nyingi kuifanya iwe tanzania nzima ....
mwenye uwezo wa kushare mawazo na kujua zaidi anifate inbox....