chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,388
- 24,948
Habari wanabodi,..
Ni busara na haki kabisa Mhe Rais wa Tanzania Joseph Magufuli akawa anakumbushwa muda uliosalia wa yeye kuwepo madarakani, ni takriban miaka mitatu tu na miezi kadhaa imebakia kabla hajatoka madarakani na nchi kukabidhiwa kwa kiongozi mwingine atakayeweza kutuvusha kutoka hapa tulipo.
Rais akumbushwe tena yale mambo ya msingi aliyoahidi wakati wa kampeni kwani ameshayasahau na hayagusii kabisa.
Watanzania wamechoka na mambo yanayoendelea kwa sasa mathalani ugumu wa maisha, hakuna mtanzania aliyempigia kura Magufuli ili aje kuitwa kila.za, afukuzwe kazi, abomolewe nyumba yake, anyimwe ajira, anyimwe chakula cha msaada. Hizi zote ni sintofahamu KUU zilizokuja kujitokeza baadae baada ya kuaminiwa ndivyo sivyo.
Niishie hapa kwa leo!