Wakuu mwonekano wa Daz baba

Ukback255

Senior Member
Aug 31, 2016
174
278
Yaani ni hatari madawa ya kulevya yanatisha sana

Kiukweli Serikali isipochukua hatua tutapoteza nguvu Kazi ya vijana yaani ni majonzi makubwa .

Kama mnakumbuka Daz Baba alivyowika sana wakiwa ndio waanzilishi wa bongo freva kiukweli ni masikitiko makubwa .
b374c19daa34d48977612ac100a342e1.jpg
 
Safi kabisa, watu wanajifunza kwa kuona na si kusikia.

UKIPATA NAFASI YA KUBWIA UNGA, WE BWIA KADRI UWEZAVYO.
 
Wakati hawajafika hali hii mbona hamuwaleti huku hata tuwashauri/kuwasifia ili wakaze buti zaidi au wabadilike. Wakshafkia huku kla mtu anampost. I think it is not fair
 
Back
Top Bottom