Kazi ya kufundisha physics and Mathematics

Ukback255

Senior Member
Aug 31, 2016
174
276
Wakuu kuna jamaa yangu yupo mtaani baada ya kufaulu vizuri form four dv 1 na kupata division 2 ya PGM then kumaliza chuo katika fani ya computer science lakini kulingana na changamoto ya Ajira yupo tu kajishikiza kwenye shule moja ya sekondari ya serikali anapiga temporary job.

Na kwa vile analipwa mshahara kidogo anaomba kama kuna shule inayoweza angalau kumlipa kiasi cha juu kuliko anacholipwa sasa .

Masomo anayofundisha ni Physics na Mathematics

Mkoa wowote Tanzania anaweza Fanya kazi ambapo kazi itapatikana.

Mtu yeyote ambaye anaweza kuwa na kazi hiyo ya kufundisha hasa kulingana na changamoto ya walimu wa masomo ya science anaombwa wawasiliane kwenye namba.

0787816477

Asante.
 
kuna matapeli fulani nawafahamu vizuri aisee wakiiona hii namba hawatamuacha salama na ahadi ya mshahara wa laki tisa aisee
 
mshauri tu kwa vile amesoma cs ajikite zaidi kutengeneza software na system ili auze atatoka tu.
 
Wakuu kuna jamaa yangu yupo mtaani baada ya kufaulu vizuri form four dv 1 na kupata division 2 ya PGM then kumaliza chuo katika fani ya computer science lakini kulingana na changamoto ya Ajira yupo tu kajishikiza kwenye shule moja ya sekondari ya serikali anapiga temporary job.

Na kwa vile analipwa mshahara kidogo anaomba kama kuna shule inayoweza angalau kumlipa kiasi cha juu kuliko anacholipwa sasa .

Masomo anayofundisha ni Physics na Mathematics

Mkoa wowote Tanzania anaweza Fanya kazi ambapo kazi itapatikana.

Mtu yeyote ambaye anaweza kuwa na kazi hiyo ya kufundisha hasa kulingana na changamoto ya walimu wa masomo ya science anaombwa wawasiliane kwenye namba.

0787816477

Asante.
Mbona hujiamini?
Unaigiza kumuongelea MTU ilihali niwewe mwenyewe uliyeandika hapo?
Kwa kutojiamini kwako pambana na hako hako kamshahara kako

thA God thA bubbs!!
 
Wakuu kuna jamaa yangu yupo mtaani baada ya kufaulu vizuri form four dv 1 na kupata division 2 ya PGM then kumaliza chuo katika fani ya computer science lakini kulingana na changamoto ya Ajira yupo tu kajishikiza kwenye shule moja ya sekondari ya serikali anapiga temporary job.

Na kwa vile analipwa mshahara kidogo anaomba kama kuna shule inayoweza angalau kumlipa kiasi cha juu kuliko anacholipwa sasa .

Masomo anayofundisha ni Physics na Mathematics

Mkoa wowote Tanzania anaweza Fanya kazi ambapo kazi itapatikana.

Mtu yeyote ambaye anaweza kuwa na kazi hiyo ya kufundisha hasa kulingana na changamoto ya walimu wa masomo ya science anaombwa wawasiliane kwenye namba.

0787816477

Asante.
Mpe kwanza hili swali
Given that x=cosA + isinA, Show that 1+x= (1 + x̄)x
Akimaliza aje pm
 
Mkuu sasa kwann aliidharau professional ya ualimu sahivi anaona ya muhimu???....mwambie apambane na professional yake maana Hana proffessional ya anachokitaka na hata hapo shule wamempa kimakosa....
 
Wakuu kuna jamaa yangu yupo mtaani baada ya kufaulu vizuri form four dv 1 na kupata division 2 ya PGM then kumaliza chuo katika fani ya computer science lakini kulingana na changamoto ya Ajira yupo tu kajishikiza kwenye shule moja ya sekondari ya serikali anapiga temporary job.

Na kwa vile analipwa mshahara kidogo anaomba kama kuna shule inayoweza angalau kumlipa kiasi cha juu kuliko anacholipwa sasa .

Masomo anayofundisha ni Physics na Mathematics

Mkoa wowote Tanzania anaweza Fanya kazi ambapo kazi itapatikana.

Mtu yeyote ambaye anaweza kuwa na kazi hiyo ya kufundisha hasa kulingana na changamoto ya walimu wa masomo ya science anaombwa wawasiliane kwenye namba.

0787816477

Asante.
Ningempa Ila tatizo akija kupata kazi ya field yake atakimbia.
 
huko anakofanyia kazi analipwa shilingi ngapi na anakotaka kuamia anataka alipwe shilingi ngapi?
 
Back
Top Bottom