britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,288
- 33,947
Kusema kweli naanza kuwa na was was na kama kweli mahakama ya mafisadi IPO au tulidanganywa? Kuna nia kweli au ni siasa? Kesi zipo hapa hebu anza na hizi,
1.Richmond hasara ya 350 billions
Kashfa hii inamuhusisha waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa, ambaye kustaafu kwake kumelazimishwa kutokana na kashfa hii. Hii ndo kashfa iliyoshika nafasi ya juu kwa kuwa imeangusha mpaka serikali husika.
Muhusika: Edward lowassa
2.ESCROW hii ni kashfa iliyoshirikisha watu viongozi mbali mbali na mapadree, 300 billions, hii kashfa ina kutokueleweka ndani mwake maana kila taasisi ilitoa Maelezo tofauti
IKULU: Pesa za ESCROW si za serikali.
BUNGE: CCM wanasema si za serikali, CHADEMA wanasema kuna ambazo ni za wananchi/serikali.
MKAGUZI MKUU: Hajui jibu sahihi alimalizia kwakusema zinaweza kuwa au zisiwe za wananchi
Wahusika: Askofu kilaini, Tibaijuka, Chenge, Ngereje, na wengine
3. Lugumi : hii imetikisa sana na bado hatujajua itaisha vipi na wahusika wakuu ni LUGUMI na washirika wake,
Wahusika :Mzee lugumi na wenzake
4. EPA, hii imeshika nafasi ya nne , wahusika walirejesha hela kimya kimya bila hata kujua ni kina nan,
Wahusika : Patel family
5. Upotevu wa makontena bandarini ,
Wahusika: masamaki tiaghi na wenzake
6.KAGODA, hii kashfa imetokea wakati wa uongozi wa mzee MKAPA lakin inadhaniwa kuwa imeisha kimya kimya,
Wahusika: serikali ya mzee mkapa,
7. NHC, uuzwaji wa nyumba za serikali miaka ya 1996 ambaye alihusika ni waziri mkuu ambaye alishirikiana na wahusika kukamilisha suala ilo,
Wahusika:Waziri mkuu Frederick sumaye na waziri husika
8. SUKARI sakata ili lilinuhusisha bwana IDDI SIMBA ,Sukari kutoka nje tani za kutosha zilikwapuliwa kipindi hicho
Muhusika: mzee IDD simba
9. UCHOMAJI WA BENKI KUU NA KUPORA , suala Ili wahusika wanajulikana na huwa hawatajwi sana sana,
Wahusika :Konom mrodin na ginadre ngime
10. ATCL, sakata la ATCL na ununuzi wa vifaa hewa , ukarabati hewa wa ndege na wafanyakazi hewa ,
Wahusika:Mkurugenzi na mawaziri wa uchukukuzi
11. MEREMETA,
Wahusika : serikali awamu ya tatu
12. AICC ARUSHA
Mhusika :Edward lowassa anapaswa kujibu,
13. UUZWAJI WA VIWANJA VYA SERIKALI KINYUME,
Muhusika:Waziri wa ardh awamu ya tatu, edward lowassa
14. UKWAPUAJI WA RANCHI ZA SERIKALI
Mhusika:Edward lowassa
15. UKWAPUAJI WA HELA ZA MRADI WA MAJI,
Mhusika : edward lowassa aeleze alikuwa na dhamana
16. MAJENGO PACHA YA B.O.T BY LIYUMBA
Mhusika: amatusi liyumba marehem na yona
17. MAJENGO YA UVCCM Mizengwe katika ujenzi,
Waziri mkuu wa kwanza katika awamu ya NNE, na mwenyekiti wa uvccm
18. UNUNUZI WA MVUA YA THAILAND
Mhusika: edward lowassa anapaswa kueleza Vema,
19. UNUNUZI WA MAGARI MABOVU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
Mhusika: freeman mbowe
20. UTOROSHAJI WA TWIGA KWENYE NDEGE,
Mhusika , serikali ya awamu ya nne
21. UNUNUZI WA RADA,
Mhusika: Andrew chenge na mramba,
22. NDEGE MBOVU YA RAIS,
mhusika:Basil pesa 2
23. MELI MBOVU YA B/MOYO
Mhusika: mkurugenzi wa TEMESA na idara ya manunuzi.
24. UKARABATI WA NYUMBA YA UBALOZI KWA MABILION YA HELA , KWA UDANGANYIFU,
Mhusika:Waziri wa mambo ya nje awamu ya tatu
25. WIZI WA B.O.T. 1998
Hapa alikuwa Mzee balali R.I.P na wasaidizi wake watapaswa kujibu,
26. UUZWAJI WA MAGARI YA SERIKALI KINYEMELA
Wahusika: wakurugenzi mashirika ya UMMA
27. LOAN BOARD , mikopo hewa
Wahusika:Mkurugenzi na wahusika wengine,
28. UDA , ushahidi wa kutosha upo na Simon group wamehusika sana
Mhusika: simon group na KIKWETE junior wanapaswa kutueleza
29. NIDA , hapa vitambulisho vya taifa ,serikali imepata hasara kubww sana,
Wahusika:Bernad m, na mkurugenzi wa NIDA wana cha kueleza mahakama,
30. ARV's fake, hii alipotiwe na kushtakiwa kwa kudanganya serikali na kuua watu kwa udanganyifu,
Mwanachama maarufu wa CCM na familia yake wanamajibu
31. NPS, national parking service , hapa pia kuna ufisadi mkubwa sana,
Mhusika Wa kujibu: kingunge mwiru
32.Meli yenye meno ya tembo iliyokamatwa ughaibuni..
Mhusika:Waziri wa Mali asili Nyarandu na mkurugenzi bandari wanapaswa kujibu
Tanzania ina kesi nyingi sana zinazohusiana na uchafu wa ufisadi, hebu nawe ongezea nyingine...
Nb usimtaje muhusika bila kuwa na ushahidi maana unaweza kuvuruga ratiba ya mahakama ya mafisadi badala ya mafisadi wakakusaka we mchochezi kwanza..