Recent content by UBISHI

  1. UBISHI

    JamiiForums Tanzania Ni zip Tofauti kati ya VRN na TIN,je kunafaida gani ya kuwa na VRN?

    Mapato yanayozidi 40,000,000 kwa mwaka.......VAT 18%
  2. UBISHI

    JamiiForums Tanzania Kasema mahari itatolewa mwakani,

    Du kazi hii, Anza upya msahau period
  3. UBISHI

    JamiiForums Tanzania Ninajambo mwenzenu usisite kudondosha mchango wako.

    Ni mmasai?.kuna mtu keshachoma mkuki nje ya nyumba yako kabla huaingia tena
  4. UBISHI

    JamiiForums Tanzania Nyumba za wageni bukoba,karagwe,muleba na magodoro na matandiko ya mpira !

    Inaitwa katerero.......wenyeji wote wa huo mkoa wanaijua kasoro wewe tu mgeni. Wala usipate tabu opoa halafu mwambie akufundishe katerero yaani kipigio kama sijakosea
  5. UBISHI

    JamiiForums Tanzania Nyumba za wageni bukoba,karagwe,muleba na magodoro na matandiko ya mpira !

    Yaani tukupe bure matirio ya utafiti...lipia bana......... Bishanga ulio
  6. UBISHI

    JamiiForums Tanzania CCM wanaandamana Dodoma

    Ni Umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Dodoma ndio wanaoandamana
  7. UBISHI

    JamiiForums Tanzania CCM wanaandamana Dodoma

    Wanalaani kauli ya CHADEMA Arusha juu ywa kuigawa nchi –Kanda ya ziwa na mikoa ya kaskazini.Lakini pia wanampongeza Rais Jk kwa kuunda upya baraza la mawaziri.
  8. UBISHI

    JamiiForums Tanzania Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

    Loh.....!
  9. UBISHI

    JamiiForums Tanzania Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

    Zaid ya hapo?
  10. UBISHI

    JamiiForums Tanzania Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

    Wairaq ndio wambulu na asili yao ethiopia na baadae wakapita somalia ndio maana wna matamshi kama wasomali.ukimsikia mbulu anatamka kwa kiswahili mpira anasema impira.kama huamini mwambie sumaye au slaa atamke
  11. UBISHI

    JamiiForums Tanzania Wajiriwa wa IT - TZ mnatuabisha sana

    wanawaza deals,kwenye wizi ndio utajua wataalam tunao
  12. UBISHI

    JamiiForums Tanzania Balaa kubwa: Baada ya kutimliwa na JK; Mkulo, Maige kortini

    Hebu weka paragraph.Hivi ulivyoandika inaumiza macho, back to the topic: Takukuru mpaka waambiwe shughulika ndio wakurupuke,kuna namna nyingi za kufuatilia rushwa ama wizi.Ni kiasi cha kuwa karibu na CAG,wakati wanafanya ukaguzi wa hesabu mathalani wilaya ya Kinondoni na wao wanafuata nyayo...
  13. UBISHI

    JamiiForums Tanzania Tcu na cas yenu vipiiiiii leo ndo trh 7 mlio ahidi

    Duh presha la boom
  14. UBISHI

    JamiiForums Tanzania Mie mgeni humu

    mnipokee jamani niwe mwenyeji humu
  15. UBISHI

    JamiiForums Tanzania Mie mgeni humu

    mnipokee jamani niwe mwenyeji humu
Back
Top Bottom