MWANA WA UFALME
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 578
- 144
Muda wa kutafuta posho na wa kazi naona ndio vinagongana.
Kweli ni aibu hizo sites zipo bila mabadiliko kwa muda mrefu; lakini changamoto ni kwa waandaaji wa taarifa mpya ambao sio IT guys, pili Tz bado inaukwasi mkubwa wa watalaam wa IT, kitu kinachopelekea wizara au ofisi kubwa tu kuwa na IT mmoja au wawili (fundi mchundo). Hali hii inasababisha IT mmoja afanye kila kitu, ambavyo haiwezekani. Kwa wenzetu ambao mambo yako safi ulaya etc, kila eneo la IT linamtu kiongozi na watenda kazi kama wawili, kila eneo NETWORK, WEBSITE, SERVER ADMINISTRATION, USER SUPPORT, PC MAINTANCE AND REPAIR, PROGRAMING, CLOUD COMPUTING ETC, Sasa hapa TZ ni mtu mmoja utajitahidi kufanya vyote lakni speed ya mabadiliko itakukamata.
Tunahitaji kuangalia mfumo na kurekebisha namna ya ajira na chati za taasisi ili kutoa nafasi ya ajira pana kwa IT wetu