Tcu na cas yenu vipiiiiii leo ndo trh 7 mlio ahidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tcu na cas yenu vipiiiiii leo ndo trh 7 mlio ahidi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Esir, May 7, 2012.

 1. E

  Esir Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Msaada kwa aliyefanikiwa kuapply leo hii maana hawa jamaa wametuambia kwamba tutaanza kuapply leo trh 7 mwezi huu lakini bado system yao inakataa kupokea program choice zaidi ya nne nawakati wao wanasema chaguo la chini lisipungue 6 programs, lakini hata hizo sita hazifiki goma linachomoa na kukurudisha nyuma kwa home page, msada tafadhari
   
 2. MKL

  MKL Senior Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Goma mboa linadunda toka asubuhi mimi nawasaidia vijana hadi sasa nimewapiga tafu vijana 22,
  Unatakiwa uaply cozi zisizopungua nane kwa vyuo vyote utakavyo ila kwa chuo kimoja kozi zisizidi tatu kwa maneno hayo basi, ni kwamba unaweza aply kozi moja kwenye kila chuo ukawa umeaply vyuo nane, au mbili mbili ukawa umeaply vyuo vinne au tatu tatu kwa vyuo viwili na kimoja ukaaply mbili. Si lazima ufikishe nane lakini hakikisha kozi unazo aply hazipungui sita in total. NA uwe na sifa nazo ukilinganisha ufaulu wako na cut off points.

  OTE=Esir;3863180]Msaada kwa aliyefanikiwa kuapply leo hii maana hawa jamaa wametuambia kwamba tutaanza kuapply leo trh 7 mwezi huu lakini bado system yao inakataa kupokea program choice zaidi ya nne nawakati wao wanasema chaguo la chini lisipungue 6 programs, lakini hata hizo sita hazifiki goma linachomoa na kukurudisha nyuma kwa home page, msada tafadhari[/QUOTE]
   
 3. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  [/QUOTE]

  correction minimum 6coarses max 8.
   
 4. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
   
 5. a

  admirable Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [/quote]

  naomba nielekezwe nimeshindwa hata kuanza
  . Column ya kwanza inasema enter code ya pili code cjaelewa tafadhali
   
 6. UBISHI

  UBISHI Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh presha la boom
   
 7. k

  kitero JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Miaka yote ndivyo linaumbua.ila kule mwanzoni ilikuwa fresh.
   
 8. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ni kweli hilo tatizo limenitokea ata mm,leo ni siku ya nne kila nikijaribu ku-add programmes zinakubali nne tu na ukiendelea zinakataa na kukurudisha home page.Nimejaribu kuwatafuta TCU kwa namba zao walizoto kwenye muongozo wao zote hazipatikani na cc wengine tupo mabonde kuinama huku sijui itakuwaje?.Ni vzr wakawa waangalifu na umakini wa hii system isije ikaenda kinyume na kusudio lengwa.
   
Loading...