Nyumba za wageni bukoba,karagwe,muleba na magodoro na matandiko ya mpira ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba za wageni bukoba,karagwe,muleba na magodoro na matandiko ya mpira !

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KYALOSANGI, Sep 7, 2012.

 1. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Inawezekana kuna kuna kuna watu nitawakwaza ....labda !lakini mtanisamehe !
  Miezi miwili iliyopita nilbahatika kuwa mkoani Kagera kwa shughuli za kikazi .Nilibahatika kutembelea wilaya zote 8!
  Kuna jambo kubwa lilinishangaza kuwa nyumba nyingi za wageni zina matandiko (magodoro}ya liyofunikwa mpira ya plasitiki ,kama ile ya kuzuia mkojo kwa watoto.mwanzoni nilidhani mwenye nyumba ameamua kutunza magodoro yake yasiharibike mapema.
  lAKINI nilishtushwa zaidi nilipoenda gesti na lodge nyingine nikakuta wao wanatandika kiapnde cha mpira kuilinda godoro!Sikuvutiwa nalo nikamwomba mhudumu alitoe kabla hajatoa nilimwuomba aniambie mpira huo ni wanini...alicheka sana na kuondoka !
  Nililazimika kuwa mdadisi zaidi na kulazimisha urafiki na mlinzi wa lodge ile na kumhoji alichoniambia ndio kilichonisukuma niwasilshe hoja hii hapa wadau wanipe shule!Yule babu aliniambia kuwa ndugu zetu wa huku wana kamchezo wa wakubwa ambao huwafanya watoe maji mengi mithili ya bomba .......hivyo inawalazimu wamiliki wa nyumba hizi kuchukua tahadhari kuyalinda magodoro yao .Niliamua kutoendelea na uatafiti huo niliiamini kuna jukwaa letu ambali kuna majibu ya uhakika!...
  Sasa wadau nisaidiane ...je ni kweli kuhusu haya maelezo?......inakuwaje mchezo huu uwepo Kagera tu! ....Je kuna sababu yoyote ya Kisayansi ....bayolojia au jiografia inayosababisha hali hii
  Naomba niweke wazi kuwa hali hii niliona Bukoba ..lodge 3,Muleba ...gesti 2,Biharamulo 1,NGARA 0,karagwe 2,KWERWA 2,mISENYI 2 ,nshamba 1,Kamachumu 1,
  Nyumba /gesti nilizokuwa nalala ni za kati ya Tsh 15,000-25,000/=
  Naomba kuwasilisha
   
 2. UBISHI

  UBISHI Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani tukupe bure matirio ya utafiti...lipia bana......... Bishanga ulio
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  wee kwa nini usiwaulize hao wenye gesti?
   
 4. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Kaka nbahati mbaya nimejitoa kwenye hizi huduma za mobile bank leo hii ....wanaiba sana ningekurushia .....lakini niambie kaka wiki ijayo naenda huko nisije rudi Kagera bila majibu!
   
 5. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Ndugu unakuwa mkali hivo subiri wenzio wenye majibu wataniambia tu ......kama una mzigo wa nyumbani nipe niwapelekee wiki ijayo
   
 6. UBISHI

  UBISHI Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaitwa katerero.......wenyeji wote wa huo mkoa wanaijua kasoro wewe tu mgeni. Wala usipate tabu opoa halafu mwambie akufundishe katerero yaani kipigio kama sijakosea
   
 7. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Uzi kama huu ulisharushwa kitambo hapa jamvini. Search utapata majibu ya kutosha ili roho yako iburudike!
   
 8. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Ni kwa ajili ya katerero,
  watafute watu wa bukoba wakufundishe hiyo style ya ngono iitwayo katerero ndio utajua maana ya hayo manailoni
   
 9. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Unaona sas hebu kula tano
   
 10. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  mmmh...makubwa..!
   
 11. L

  LADY JO Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo nayo kali!
   
 12. byembalilwa

  byembalilwa JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,538
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  mkuu mbona hata mie nimekumbana na hiyo style huku moshi ....na wasiwasi na hili zao la ndiz yawezekna ndo source.
   
 13. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Nasikia usipoweza kulowanisha .......na kufanya bomba la maji ujue umepotezza muda wako!!!hatariii sanaa
   
Loading...