Recent content by twitter

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wasanii (mfano MC Pilipili) huuziwa magari bei juu kuliko watu wengine?

    Bei za magari hazifanani hata siku moja. Inategemea na muuzaji wa gari, na condition ya gari husika. Unaweza kukuta huyo MC Pilipili amenunau gari ambayo ni 0 km au ipo low millage, wakat wewe hiyo yako ya milion 22 imetembea millage za kufa mtu!!!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Sport 24 HD

    Duh....majanga
  3. T

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    I miss Giroud!!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe kulifumua baraza la mawaziri kivuli; nani kuingia/kutoka?

    Chadema kama CCM tu, hamna jipya.
  5. T

    JamiiForums Tanzania My God!!

    lol..hii kali
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi; Eti Jay Dee ameenda kupandikizwa mimba (artificial insemination)

    Watu kwa umbea!!! Mmmmmh
  7. T

    JamiiForums Tanzania What does ID and Avatar say about someone?

    Kafanyaje huyu? Nilikuwa namview tu..yupo njema sana
  8. T

    JamiiForums Tanzania natoa password yangu kama zawadi ya iddi

    Imwage hapa hadharani.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hongera PJ kwa kupata degree...je utaendelea kusoma magazet?

    Degree ya ya kudesa. Jamaa alikuwa na vimeo kibao..nashangaa amegraduate vipi.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Balozi zetu nje zilivyojaza watoto wa Vigogo

    Hana jipya huyu. Kaamua tu kuchangamsha jamvi. JF is never boring
  11. T

    JamiiForums Tanzania Misemo hii kiboko...weka ya kwako...!

    Teja hakatai hela
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hello memberz

    Hi all, Am new here, naombeni mnipokee. Asanteni sana.
Back
Top Bottom