Misemo hii kiboko...weka ya kwako...!

Misemo hii kiboko...weka ya kwako...!

1. Sumu haionjwi kwa kuilamba.
2. raha ya daladala kusiwe na foleni
3. utamu wa pipi ni mate yako.
 
Clouds FM wana misemo yao kupitia kwa kina Dina Marios ukisikia matangazo yale ya kanga moja, au kipindi cha asubuhi Bonge anapomalizia huwa anatoa msemo. Na yote hiyo nimewahi kuisikia huko!

Mimi hiyo redio ya wafu huwa siisikilizi sikuhizi.
 
1-sio kila shimo lakuingiza mguu
2-mwanamke asingiziwi mtoto
3-ukimpnda mtoto wa kambo ..............malizieni
hapo kwenye red...naongezea kuwa,...mashimo mengine huingizwa mguu mdogo wa tatu!
 
1.Mshindo wa mguu wa Tembo hauwezi kumuua sisimizi.
2.Hata beberu naye ana sharubu!
 
Mmeusahau msemo huu: "Ukitaka kucheka, ingia JF"

Yaani, nimecheka sana!!
 
Back
Top Bottom