My God!!

Nadhani ile hali ya kutokuwa karibu kati ya mtoto wa kike tangu mdogo na baba yake
huenda ikawa inachangia.

Utakuta mtoto wa kike akiwa tu hata na shida hata ya kawaida anaambiwa amwambie kwanza mama halafu mama ndio amwambie baba ukiuliza sana utaambiwa ndio tamaduni zetu,na pia ukali kupita kiasi kwa baba.

Matokeo yake hawapati nafasi ya kujenga yale mahusiano ya upendo wa baba na binti yake,matokeo yake wanaishia kuonana kama mwanamke na mwanamme.
 
@ Soraya - it is more as a result of being closer to the dad than the accepted norm.
 
Siku hizi mambo km hayo karibia yanazoeleka!hasa kwa wale wanaotaka pata mali kwa imani za kishirikina
 
kuna watu wana matatizo ya akili...
na kuna watu akili zao ziko kwenye suruali tu...
na watu kama hao adhabu ya kifo ndo inawafaa..
incest is disgusting.....
 
unaweza kukuta binti ndio alimtokea babake,mzee akaona isiwe shida!
 
Hili timbwili la leo la kufa mtu. Kuna jamaa kafumaniwa na Mke wake anabanjuka na mwanawe wa kumzaa kabisa. Hivi huwa kinatokea nini kwa jamaa kama huyu kutembea na mwanawe wa kumzaa. Kwa nini kwa wanawake haiwi kawaida kusikia upuuzi kama huu. Haya mambo ya Tabata Mawenzi yamenichanganya kabisa!!

Huyu mzee ana hekima na busara saanaa kutembea na mtoto wake ni vizuri kwani angemuacha atembee peke yake si vibaka wengi tu watamtongoza lakini akiwepo mzazi nani anaweza mtokea mtoto wa watu.ULINZI MUHIMU.
 
hakuna wa kumlaumu.
wote wapuuzi baba na binti yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom