Mwisho wa Sport 24 HD

Jeorpa

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
316
155
Chanel yetu pendwa kwa sisi kipato cha chini hatimae imefikia ukomo wake jana, ni pigo sana kwa upande wetu sijui tutafanyaje tena kupata mbadala wake
 
Oya bado frequency hazijapatikana maana hata huku ndo chanel iliyokuwa inatufanya tu enjoy epl
 
Kudaaadek, sasa ndio itakuaje! Maisha bila kuangalia EPL yanaboa sana.
 
Bein sport inapatikana ya angle gani? Hasa wanao ipata ni watu wa kaskazi huko sio wootd Tanzania
 
Mnasmartphone za kuchat mnalia mpira MA free channel app kibao...tumieni mobdro.com kwa ambao mnatumia android phone.
Na kwa wale ambao wako advanced kitechnologia mnaweza tumia KODI app hii ni ngumu kwa mtu aliezoea vya kunyonga maana hii lazima uadd plug-in ukiona yote hayo magumu download app ya mbongo mwenzetu ya TV online japo binafsi huwa siitumii kwa mipira ya ulaya.
 
Binafsi nafahamu njia zote hizo ila wengi tunapenda vitu cheap sasa kodi na mobdro mpaka ununue kifurushi pia kuona kinyumba na wadau gharama nyingine bora FTA na tv yangu tu shwali.
 
Kwani mkuu 24hd haitumii Kifurushi, inatumikaje?
 
Mnasmartphone za kuchat mnalia mpira MA free channel app kibao...tumieni mobdro.com kwa ambao mnatumia android phone.
Na kwa wale ambao wako advanced kitechnologia mnaweza tumia KODI app hii ni ngumu kwa mtu aliezoea vya kunyonga maana hii lazima uadd plug-in ukiona yote hayo magumu download app ya mbongo mwenzetu ya TV online japo binafsi huwa siitumii kwa mipira ya ulaya.
Yoote hayo nayajua issue sio kila mtu anatoka kwenye 3g au 4g tupo kjj mzee...
 
Back
Top Bottom