Recent content by Tuntu

  1. Tuntu

    Nauli Feri: Mnyika, Hata Wewe?

    Nilipokusikia unagombea Ubunge Kinondoni, nilifikiri ni aina ya wale wanaofanya show game tu za "na mimi niligombea" , lakini baada ya kuyafuatilia mawazo yako hapa jamvini ninashawishika kuwa hiki ni aina ya kichwa kinachopaswa kiwepo Bungeni. Kwa heshima na taadhima nakuomba ufikirie kugombea...
  2. Tuntu

    Shemeji ananikosesha amani...sijui nifanyeje..?

    Wewe jamaa bana, ingekuwa anayekutaka ni mke wa kaka yako ningekuelewa, lakini eti mdogo wa mke wa kaka?aaghhh!! unaghafirika nini kwenye hili? Kama analipa japo "kwa matumizi ya dharura" malizana nae tu, la humtaki mpotezee tu kimyakimya bila kuleta mgogoro, ole wako umwambie wazi kuwa...
  3. Tuntu

    Jaman Lulu ana mambo!

    Wala usihofu Madam T, kama vigezo ndio hivyo tu basi nina zaidi ya alivyovieleza.
  4. Tuntu

    Mbunge wa CHADEMA bi Susan Lyimo atuwakilisha vyema mkutano wa kimataifa......

    Hivi na Suzana Lyimo ni Mbunge Machachari?kweli ukipenda chongo utaona kengeza. Sitegemi Suzana Lyimo kutoa hoja zozote za maana huko zaidi ya kupata per diem zilizotokana na kodi zetu for nothing, ni muda muafaka sasa serikali kuanza kubana matumizi ikiwepo kupeleka wawakilishi wasio na uwezo...
  5. Tuntu

    Jaman Lulu ana mambo!

    Madam T, nisamehe bure kabisa. Huyu binti tayari ameshatimiza miaka 18, hivyo kwa sheria za Tanzania huyu ni mtu mzima, mwenye akili timamu, mwenye haki zote za msingi ikiwepo kupenda na kupendwa as long as havunji sheria, ebu tujitahidi kumhakikishia haki zake hizi, ikiwepo kumsaidia kupambana...
  6. Tuntu

    Jaman Lulu ana mambo!

    Haswaa, naona hapa watu wana-apply tu ile theory ya SIZITAKI MBICHI HIZI, hivi unakataaje huduma ya katoto kama haka..https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/121078-msanii-lulu-nikivaa-nguo-ndefu-nawashwa.html. Hapa watu wanakaponda tu haka katoto huku huko street wanasarandia vicheche...
  7. Tuntu

    Jaman Lulu ana mambo!

    Hakuna hiyo kitu, kanakwenda tu bila tatizo.
  8. Tuntu

    Jaman Lulu ana mambo!

    Jamani mnahangaika na tabia yake kwani mnataka kuoa bana? Katoto kazuri kama kale hakatakiwi kupoteza muda kuchangishachangisha nauli, haka kanafaa sana kujipumzishia huku ukikaondolea shida zake zote ikiwepo nauli ya kwenda na kurudi as long as kanawajibika vizuri na kana tunza siri, mwenye...
  9. Tuntu

    Nape, Lusinde walichokuta Mwanza kimewatosha

    Kama hauwezi kuona umuhimu wa uadilifu na uwajibikaji wa viongozi katika ustawi wa nchi na watu wake, i am disappointed.
  10. Tuntu

    Wachina hawafungui maduka leo huruma

    Sio Tanzania tu, ata katika nchi za magharibi kuna watu kibao wanaishi tu bila makaratasi, ndio utafutaji huo.
  11. Tuntu

    Nape, Lusinde walichokuta Mwanza kimewatosha

    Waandishi wetu wana matatizo makubwa, ukimsoma Fredrick Katulanda wa Mwananchi unapata picha kama vile Nape hakuongea lolote la maana kwenye huo mkutano, lakini ukisoma gazeti la Majira unapata vitu vingi vya msingi vilivyoongelewa kwenye huo mkutano, vitu ambavyo Mr. Katulanda hakuona kama ni...
  12. Tuntu

    Nape atua Mwanza kwa mkutano wa hadhara

    Nitashangaa sana kama hawatapata umati wa kutosha, Watanzania hawana nongwa kwenye kukusanyika... Francis Godwin ni mzee wa matukio daima: 'LIVE "ASKOFU BOAZI SOLLO AUTEKA MJI WA IRINGA MAELFU WAJITOKEZA UWANJA WA SAMORA KUJISALIMISHA KWA YESU,MASANJA M?KANDAMIZAJI NDANI YA NYUMB
  13. Tuntu

    Tanzania: Crisis kubwa inakuja

    Ni fikra tegemezi kuililia serikali ikupatie mtaji. Kinachopendekezwa hapa ni idea ya serikali ku-spend eti kwa ajili ya ku-creat jobs, hili sio jambo sahihi na ndipo Obama pia alipochemka, na matokeo yake badala ya kupunguza tatizo la ajira ameliongeza, na hii itam-cost sana come 2012, na...
  14. Tuntu

    Tanzania: Crisis kubwa inakuja

    Hizo haziwezi kuwa sababu za msomi kushindwa kujiajiri, bali ni dalili za ukosefu wa maarifa, taarifa, na udhubutu wa kijasiriamali, hasa kutokana na wasomi wetu kujawa na mawazo tegemezi. Sijui kama umeshazunguka vijijini, ndugu yangu wala hauna haja ya kushindania hizo zilizokuwa ranchi za...
  15. Tuntu

    Nini amekifanya Mbunge wako jimboni kwako toka 2010 hadi sasa?

    Hapo kwa Sugu naona umechapia, nilikuwa Mbeya kwa mwezi mzima ulipopita, na sijaona barabara inayowekwa changarawe, zaidi ya vifusi vya hapa na pale kama ilivyo kawaida ya Halmashauri ya Jiji. ...ILA kuna mradi mkubwa wa kupitia Tanzania Cities Project (TSCP) unaofadhiriwa na World Bank wa...
Back
Top Bottom