NYENJENKURU
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 1,063
- 288
Tembelea viwanda vya nguo vyote vya Tanzania.Kuna Wahindi hawatoki nje maana hawana vibali kabisa.Mfanao KTM,NIDA,POLYTEX..Kweli Mgamba ,,,,Namsikitika Mtikila ndie mtu pekee alieweza kutamka waziwazi wageni wamezidi waondoke kwao magabachori,hivi mkuu unajua wahindi ndio waliotufikisha hapa tulipo ndio wao waliofundisha kufoji hati mbalimbali ndio wao walioshamirisha rushwa kwa viongozi wetu ndio wao wanaowalete ndugu zao bila x=vibali vya kuishi hapa nishawakuta wahindi kibao kwenye majengo yao wamefichwa hawana viballi wala kiswahilihawajui,achilia mbali kiingereza ,baada ya n,muda wanakuwa mabosi kwenye viwanda vyao ,nikawakia wakipigiana simu Njooni tz hata bila nguo mtarudi kwenu India matajiri,juzi nimewakuta wachina wanapiga siling board TMJ Nje hakuna hata bango la Contractor sijui Board kama wanajua hili na hao wachina wana working permit