Nape atua Mwanza kwa mkutano wa hadhara

Watu wanazidi kumiminika kwa maelfu yao,, sehemu hii Mwaloni haitoshi kwa wingi wa watu na hasa vijana. Nitaweka photo in few minutes wakubwa. Lakini CCM noumer mazee

...achakuwadangaya wa-tanzania,watu walio ktk mkutano huu ni-wakuhesabu,kijana mdogo kawa wewe unakuwa mwongo mchana kweupe,ukizeeka utatusumbua sana wewe...
 
Wekeni picha,kama namuona vile lusinde anatema pumba zake.

karagwe5.jpg karagwe5.jpg
 
Wana JF nimepewa buku kumi na usafiri wa bure hadi kwenye mkutano wa Nape, nipeni mwongozo niitume kwa Mpesa kwenda kwa familia ya yule kada wa cdm aliyeuliwa na ccm igunga Kama kuna mtu ana namba zao. Ila nashindwa kuvumilia kejeli za hawa magamba natafuta namna ya kuchomoka niwatumie picha...
 
acha uzushi wewe!
 
Nape anajisumbua MWANZA NI NGOME YA CHADEMA FROM DIWAN MPK MAYOR
Utaona km ppo watajaa,mi wa Rock city mto2 wa Wenje CDM ye2 CCM bado sn kuteka mwz jisafishen kwanza ndo muende
 
huyu nape ndo aliyesema kuwa psea yetu inashuka thmani kwa sababu wazungu wengi wananunua vitu kariakoo kwa kutumia dola?!!!!
 
NILIKUWEPO MAGOMENI MWENYEWE,,,
AIBU JAMANI NAPE NA WENZAKE WAMEFIKA MWANZA WAKAPOKELEWA NA VIDOLE VIWILI KAMA ILIVYO KAWAIDA YETU MWANZA,,
AIBU TENA WATU KIDUUUCHU WENGI WAKISOMBWA TOKA KISESA NJE YA JIJI KWA USAFIRI MAALUM
AIBU.....KAMA KUNA MTU MWINGINE ALOKUWEPO KWENYE MKUTANO HUO ANAWEZA KUONGEZEA UZITO,,,MWANZO MWISHO NAPE NA WENZIE WAMEKUA WAKITOA MATUSI MAZITO KWA WASIKILIZAJI WAO eg.kama mnawashwa mshike ukuta,,,wanaume mnamimba,,mheshimu hawara wa mama yako etc,AIBUUUUUUUUUUUUUU,WAMEISHIA KUZOMEWA MWANZO MWISHO
 
Bora uwe mvivu wa kulima kuliko kuwa mvivu wa kufikiri. Kwa wepesi wa kufikiri tumeshajua nini Nape anachokwenda kuzungumzia, ila kama wewe ni mvivu wa kufikiri lazima utani-quote kuniuliza ni nini anachokwenda kuzungumza
 
NILIKUWEPO MAGOMENI MWENYEWE,,,
AIBU JAMANI NAPE NA WENZAKE WAMEFIKA MWANZA WAKAPOKELEWA NA VIDOLE VIWILI KAMA ILIVYO KAWAIDA YETU MWANZA,,
AIBU TENA WATU KIDUUUCHU WENGI WAKISOMBWA TOKA KISESA NJE YA JIJI KWA USAFIRI MAALUM
AIBU.....KAMA KUNA MTU MWINGINE ALOKUWEPO KWENYE MKUTANO HUO ANAWEZA KUONGEZEA UZITO,,,MWANZO MWISHO NAPE NA WENZIE WAMEKUA WAKITOA MATUSI MAZITO KWA WASIKILIZAJI WAO eg.kama mnawashwa mshike ukuta,,,wanaume mnamimba,,mheshimu hawara wa mama yako etc,AIBUUUUUUUUUUUUUU,WAMEISHIA KUZOMEWA MWANZO MWISHO
Daaah kama ni kweli basi tena kuna haja ya watu wa usalama wa CCM kushauri tofauti.
 
Wana JF nimepewa buku kumi na usafiri wa bure hadi kwenye mkutano wa Nape, nipeni mwongozo niitume kwa Mpesa kwenda kwa familia ya yule kada wa cdm aliyeuliwa na ccm igunga Kama kuna mtu ana namba zao. Ila nashindwa kuvumilia kejeli za hawa magamba natafuta namna ya kuchomoka niwatumie picha...

uko mkutanoni? ukiituma kwa kada wa CDM, utakuwa umefanya jambo la maanna sana. nadhani dogo michael dalali/ au mnyika wanakusoma watatuma hiyo acount utoe rambirambi
 
Back
Top Bottom